Serikali yaagiza bonde la mto Ruvu lianze kulindwa na kamati za ulinzi zisimamie hilo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,666
Waziri wa maji Juma Awesu amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika kila wilaya unapopita mto Ruvu kuweka ulinzi wa mto ili maji yasichepushwe

Awesu amesema uchepushaji maji ya mto Ruvu ni chanzo kikubwa cha uhaba wa maji jijini Dar es salaam.

Chanzo: ITV habari
 
Source: ITV habari
Yanaenda nyumba ndogo, au service road🤔.
 
Matapeli wa siasa wameanza visingizio vya kishamba kipindi chote cha marehemu mbona hapakuwa na upungufu wa Maji?
Ila sihaujaona mvua Hadi tunakaribia mwezi wa mwisho wa mwaka, au ulipo ulishaanza kuandaa mashamba Kwa msimu mpya wa kilimo?
 
Shida ni maji kwamba kina kimepungua au dizeli ya kuwasha hiyo mitambo hapo Ubungo maziwa? Tuwe wakweli au ndo plea barrgain ya Babu Ruge ime kick back maana tangu atoke stop mambo ya umeme yamekuwa shida hata kwa mikoa ya pembezoni tunapotumia umeme wa generators za Tanesco umeme shida
 
Waziri wa maji Juma Awesu amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika kila wilaya unapopita mto Ruvu kuweka ulinzi wa mto ili maji yasichepushwe

Awesu amesema uchepushaji maji ya mto Ruvu ni chanzo kikubwa cha uhaba wa maji jijini Dar es salaam.

Chanzo: ITV habari
Ukiangalia vyanzo vyetu vya maji na jinsi tunavyochukulia huduma za maji ni tofauti sana na kubwa kweli kweli
 
Maji mto Ruvu yapo mengi sana. Wamezembea kujenga bwawa. Maji ni mengi kiasi kwamba walikuwa wanavuna yanayotiririka mtoni na yalikuwa yanatosha.

Badala ya kujenga bwawa la maji wanaenda kujenga daraja la kupita baharini!!!!
Hiyo ndo akili ya mwafrika... ila makuzi binafsi huathiri sana nafasi za maamuzi tuwapo watu wazima

Imagine mtu ananunua ndege katika jamii ambayo watu bado wanakaa chini shuleni, umeme tabu na maji ni shida...

Tunatoka katika jamii zisizo na priorities mfano baba anaweza uza mahindi akaenda kununua redio kesho watu wakalala njaa....

Akili ya mwafrika ni ya kinyama.
 
Hahahaaaa....... !
 
Back
Top Bottom