Serikali yaabika baada ya kukanusha sasa Mgonjwa wa Ebora apatikana Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yaabika baada ya kukanusha sasa Mgonjwa wa Ebora apatikana Mwanza

Discussion in 'JF Doctor' started by Return Of Undertaker, Aug 11, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Source tv iliyokanisha mara ya kwanza TBC ccm

  Ni mgonjwa wa ebora ambaye jeahatengwa kwenye dalili za ugonjwa wa ebora na sampuli zake zapelekwa Uganda kwa uchunguzi zaidi
   
 2. LOTIMA

  LOTIMA Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Mkuu mbona hueleweki? hebu rekebisha na utoe taarifa kwa kina.
   
 3. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mbona dr bangi amekanusha??
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nakumbuka last time afsa afya wa Kagera alikanusha taarifa ambazo dr alizitoa!
  Sijui ilikuwa funika kombe mwanaharamu apite sasa Ebola imetinga mwanza sasa sijui yule suspect wa Karagwe anaendeleaje usikute wamemtorosha kwenda uganda ilimkuepuka aibu maana hii serikali yetu ni tia maji tia maji
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Yaaani serikali hii kila kitu wanakataa
   
 6. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hahahahahahaaaaa! Asante bana, nilikua sijacheka toka asubuhi.
   
Loading...