Serikali ya Zimbabwe inastahili kuongezewa vikwazo, ni Serikali katili kweli kweli

Wananch wanapigwa tu?

Mbona hujasema wamefanya nn?

Nachojua hao wako mawinguni kwa ustaarabu kuliko hapa kwetu.

Fafanua hoja yako.
 
Hakuna Serikali duniani isiyo fanya hivyo ukikaidi amri yake. Amerika ndiyo zaidi
Zaidi za kiafrica ,nchi ni Mali ya mtawala
Bavicha huwa nawaonea huruma!

Hivi huwa mnafikiriaga kweli katika kutenda mambo yenu? Si mlishangilia Mugabe kuondolewa?

Nenda Libya ile ya Gadafi mliyeshamgilia sana kuondolewa kwake ukaone. Sasa hivi wanakula democrasia waliyoitamani toka kwa mzungu.

Demokrasia haina shida ,mbona Nchi zilizoendelea wako vizuri tu
 
Bavicha huwa nawaonea huruma!

Hivi huwa mnafikiriaga kweli katika kutenda mambo yenu? Si mlishangilia Mugabe kuondolewa?

Nenda Libya ile ya Gadafi mliyeshamgilia sana kuondolewa kwake ukaone. Sasa hivi wanakula democrasia waliyoitamani toka kwa mzungu.

..mimi nadhani Gaddafi alipaswa kuwaiga Makaburu wa Afrika Kusini.

..Makaburu waliamua kukabidhi madaraka kwa Waafrika baada ya kubaini kwamba waking'ang'ania madaraka Afrika Kusini ingesambaratika na wangekosa kila kitu.

..Kilichomponza Gaddafi ni kutokuona mbali na kung'ang'ania madaraka to the bitter end. Alipaswa kusoma alama za nyakati na kuandaa smooth transition kwenda kwenye utawala wa kidemokrasia.

cc Nguruvi3, Malcom Lumumba
 
Bavicha huwa nawaonea huruma!

Hivi huwa mnafikiriaga kweli katika kutenda mambo yenu? Si mlishangilia Mugabe kuondolewa?

Nenda Libya ile ya Gadafi mliyeshamgilia sana kuondolewa kwake ukaone. Sasa hivi wanakula democrasia waliyoitamani toka kwa mzungu.
Kweli bwana
Na bongoland mnakula bombadia
 
Hivyo vikwazo ndo vinawapiga mara dufu kuliko hata hicho kipigo cha polisi.

Mtu anayefikiri vikwazo ndo suluhisho huwa napata tabu kuelewa utimamu wa akili yake.

Kwenye hizi nchi zetu anayebeba msalaba wa vikwazo ni huyo mwananchi wa kawaida zaidi kuliko waliosababisha matatizo.
 
Wananch wanapigwa tu?

Mbona hujasema wamefanya nn?

Nachojua hao wako mawinguni kwa ustaarabu kuliko hapa kwetu.

Fafanua hoja yako.

Wameandamana sababu ya kuchoka Kusomeshwa namba
..siyo kweli.

..labda wawe wanafanya vurugu na kuharibu mali.

..na hawapigi waandamanaji kama vile ni wanyama.

Nchi zilizostaarabika huwa hazipigi watu wake,huwaheshimu,Huwezi kuta polisi anatoa stress za maisha duni Kwa kupiga wanawake na wazee
 
Hivyo vikwazo ndo vinawapiga mara dufu kuliko hata hicho kipigo cha polisi.

Mtu anayefikiri vikwazo ndo suluhisho huwa napata tabu kuelewa utimamu wa akili yake.

Kwenye hizi nchi zetu anayebeba msalaba wa vikwazo ni huyo mwananchi wa kawaida zaidi kuliko waliosababisha matatizo.

Vikwazo ni tools za kuamsha waliolala waamke wachukue hatua kuufurusha mfumo kandamizi unaovunja haki za watu.Viongozi wa kiafrica bila mfumo wowote wa kuwadhibiti ugeuka laana Kwa wanaowatawala Maana wako bize kukomoa watu kuliko kuleta maendeleo. Thus trump na Putin wanawadharau sana watawala wa kiafrica na Kuwaita wezi wanaibia wanyonge wanaficha ulaya.
 
Bavicha huwa nawaonea huruma!

Hivi huwa mnafikiriaga kweli katika kutenda mambo yenu? Si mlishangilia Mugabe kuondolewa?

Nenda Libya ile ya Gadafi mliyeshamgilia sana kuondolewa kwake ukaone. Sasa hivi wanakula democrasia waliyoitamani toka kwa mzungu.
yaani upinzani kwa afrika ulipaswa uwepo miaka kama 300 ijayo.

ukichunguza sana upinzani wao hauna dira, yaani sera ya january haiwezi kusimamiwa bila kubadilika angalau hadi june. likijitokeza tukio kama march wao hujitenga na dira/sera zao za toka january na kudakia tukio jipya, bora tu wamesikika.

kwa mujibu wa taratibu za habari; hii habari inapoteza credibility maana haijazingatia vigezo vyote vya kuitwa habari na inabaki kuwa majungu. hata kama demokrasia haijakomaa afrika sidhani km serikali kupitia hao polisi walianza kushambulia na kugawa virungu kiholela pasna kutekeleza adhabu ya ukiukwaji wa sheria.

ndiyo, tunatambua fahiwa ya uhuru lakini nao wajue upo utaratibu na sheria za nchi.

kwa mchafukoge huo nilichagua kutokuwa sehemu ya chama kiwacho chochote japo wananzuoni walikemea kuegea neutral!!
 
Back
Top Bottom