figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mhe. Haji Omar Kheri, amesema Zanzibar ina mpango wa kuweka Camera za CCTV katika baadhi ya Maeneo Zanzibar katika kukabiliana na vitendo vya Uhalifu.
Amesema kuweka Camera ni katika hali ya kuimarisha Ulinzi na Usalama ili kuhuisha sekta ya Utalii.
Vilevile kuna Mpango wa kununua boti mpya za uokozi zitakazofanya kazi baharini.
Amesema kuweka Camera ni katika hali ya kuimarisha Ulinzi na Usalama ili kuhuisha sekta ya Utalii.
Vilevile kuna Mpango wa kununua boti mpya za uokozi zitakazofanya kazi baharini.