'Serikali ya Wanyonge' ndiyo adui namba moja wa maendeleo. Eti simu/video kupitia wavuti marufuku kupitia 'Bando'!

Mtu anapewa uwaziri, badala awashuhhulikie kina VodaCom na tiGO, yeye ndio kwanza anawanyonga waliompigia Kura. Au naye huyu hakupigiwa Kura??
 
Tunako elekea profile picture, WhatsApp status nazo tutalipia kwa kigezo cha kuweka mabango yasiyo lipiwa kodi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ok ebu fafanua Mkuu,unaushahidi?
Ushahidi mahakamani hapa jamii forums utakusaidia nini,kama wewe ndio DAB anza kutubu kabisa kiburi na kujifanya si mkosaji haitakusaidia kitu

BACK TO LOARD FOR FORGIVENESS
 
Hawana ujanja huo, matokeo yake watajikuta wamefungia whatsapp nzima. Sana sana wataweka gharama kubwa kwenye vifurushi vya social.
Wangekuwa na uwezo huo wangeanzisha whatsapp yao ili wawe na uwezo wa kufanya wanachotaka.
 
Back
Top Bottom