Serikali ya Uturuki yazima mitandao yote ya kijamii baada ya ISIS kuwachoma moto askari wao

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,634
28,780
Mzuka wanaJamvi.

Serikali ya Uturuki mara moja imezima mitandao yote ya kijamii Facebook, Twitter, WhatsApp, Viber na mengine. Uamuzi huo umekuja baada ya La kundi La kihuni ISIS kuposti Video wakiwachoma moto askari wa Uturuki wakiwa hai baada ya kuwashika mateka huko Alepo Syria. Maamuzi haya ya Serikali ya Uturuki ni kuzuia raia wake wasione raia wenzao walivyokufa kikatili. Dah ISIS!
3B952B4C00000578-0-image-a-25_1482440221589.jpg

3B952AE400000578-0-image-a-27_1482440370082.jpg

3B952B3100000578-0-image-a-24_1482440216904.jpg
3B952B0000000578-0-image-a-28_1482440373482.jpg

WATCH: New ISIS Video Burns 2 Caged Turkish Soldiers to Death in Aleppo
 
Mzuka wanaJamvi.

Serikali ya Uturuki mara moja imezima mitandao yote ya kijamii Facebook, Twitter, WhatsApp, Viber na mengine. Uamuzi huo umekuja baada ya La kundi La kihuni ISIS kuposti Video wakiwachoma moto askari wa Uturuki wakiwa hai baada ya kuwashika mateka huko Alepo Syria. Maamuzi haya ya Serikali ya Uturuki ni kuzuia raia wake wasione raia wenzao walivyokufa kikatili. Dah ISIS!
View attachment 449586
View attachment 449587
View attachment 449588 View attachment 449589
Hizi Dini hizi mhhh siku ya mwisho kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
Ndio vita ilivyo huwezi kumpa favour adui anayetaka kukuangamiza ,

Hiyo ni message kwa wanajeshi wengine wa Turkey ili waogope ,.waingiwe na woga wa retreat

Vita bwana fanya utakavyofanya ila omba usitiwe nguvuni na adui/mpinzani ..no mercy

Ni Kama vile mwanaume aliyefumaniwa kinachosubiriwa ni maamuzi tu ya aliyekufumania

Ila uturuki nao wamezidi sana kuzima mitandao,raia wa Turkey hawana raha kabisa ya mitandao
 
Mzuka wanaJamvi.

Serikali ya Uturuki mara moja imezima mitandao yote ya kijamii Facebook, Twitter, WhatsApp, Viber na mengine. Uamuzi huo umekuja baada ya La kundi La kihuni ISIS kuposti Video wakiwachoma moto askari wa Uturuki wakiwa hai baada ya kuwashika mateka huko Alepo Syria. Maamuzi haya ya Serikali ya Uturuki ni kuzuia raia wake wasione raia wenzao walivyokufa kikatili. Dah ISIS!
View attachment 449586
View attachment 449587
View attachment 449588 View attachment 449589
Too young to die
 
turkey kwasasa inatia huruma kwakweli maana imejikuta ipoipo tu haielewi hata inafanya nn....hata zile meeting na russia kule nafikiri amekua mtu wa kuitikia tu kila kiachoemwa yaan tangu yale mapinduz yaliyoshndwa uturuki hajielew elewi,IS wanaiandama,pkk nao wamechachamaa daah
 
Hapo anaye wachoma wenzie hivyo anaenda kuonja pepo na mabikira 70 na nguvu ya kutembea na wanawake 100 sijui kwa siku
Halafu na siku ya kiama na mimi nikawekwe jiko moja na hawa kwa dhambi zangu za uzinzi ? Hapana aisee kuna haja ya kuokoka

Allah Akbar
 
Back
Top Bottom