Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hivi serikali ya awamu ya tano mbona wako kinafiki nafiki sana? Full kujiaibisha na kuuza utu wao kwa wananchi wanaowaona wajinga kumbe wao ndio limbukeni na washamba?
Bajeti ya mbio za mwenge ni almost bil 300- 350 kwa mwaka kinachokimbizwa ni moto kwenda kuzindua miradi ambayo diwani, rc, dc, mkurugenzi wanaweza kuizindua. Na miradi mingine siku hizi wanagombea kati ya rais na mwenge.
Na bajeti ya sherehe za uhuru/muungano haizidi bil 1 kwa mwaka.
Hivi kati ya mbio za mwenge na sherehe za uhuru ni ipi inajenga na kuchochea uzalendo?
Mwenge unafaida gani kwa taifa? Hadi kuwasha na kuzima rais anakuwepo ila sherehe za uhuru hataki kwenda wala kuwepo na anatamani kuifuta kabisa.
Ivi kama hawataki muungano si waseme turudishe Tanganyika yetu?