Serikali ya umoja wa kitaifa ni serikali inayohusisha watu wa aina zote mfano wahindi,wazungu nk sio vyama vya siasa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Kumekuwa na kelele nyingi kuhusu serikali inayoitwa ya umoja wa kitaifa

Serikali ya umoja wa kitaifa ni ile inayohusisha watu wa makundi yote mfano wahindi,wazungu ,waafrika nk walioko ndani ya nchi

Mfano Uingereza waziri wa Nishati,Viwanda na Biashara ni raia mwenye asili ya Ghana Kwasi KWARTENG huyo hapo

1630425868471.png


Waziri wa Mambo ya ndani ni Muhindi mama Prit Patel huyo hapo

1630425992308.png


Hiyo ndio inaitwa serikali ya umoja wa kitaifa hizo zingine za kuunganisha vyama ni porojo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom