Serikali ya Ujerumani imepongeza juhudi za Rais Dokta John Pombe Magufuli

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Serikali ya Ujerumani imepongeza juhudi za Rais Dokta John Pombe Magufuli za kupambana kwa vitendo rushwa na ufisadi na kusema hatua hiyo inapaswa kuungwa mkono kwa dhati ambapo ujerumani imeahidi kuendelea kufadhili miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo huduma ya afya usambazaji maji vijijini pamoja na kuimarisha utawala bora.



Chanzo: ITV
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom