SErikali ya Uingereza yatoa Bil.330 kusaidia Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SErikali ya Uingereza yatoa Bil.330 kusaidia Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MziziMkavu, Aug 10, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  SERIKALI ya Uingereza imetoa kiasi cha shilingi Bil.330 kusaidia na kuchangia bajeti ya uchumi ya Tanzania.

  Msaada huo ulipokelewa jana na Waziri wea Fedha na Uchumi, Bw. Mustapha Mkulo ofisini kwake jijini Dar es Salam.

  Mkolo amesema fedha hizo zimetolewa na Serikali hiyo kwa ajili ya kusaidia bajeti ya uchumi kwa ujumla.

  Akikabidhi fedha hizo kwa waziri Mkulo, Darren Welch amesema kuwa fedha hizo zimetolewa kwa lengo la kuinua bajeti hiyo ili kuweza kusaidia wananchi wa Tanzania.

  Amesema kuwa lengo kuu la kutoa fedha hizo ni kuinua mpango wa kutokomeza na Kupunguza Umasikini Tanzania [MKUKUTA]

  Mkulo amesema mbali na Uingereza tayari Tanzania imeshapokea msaada kutoka nchi ya Denmark, Swazlanda na nyingine nyingi ili kuisaidia bajeti ya uchumi ya nchini.
  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=2724266&&Cat=1
   
Loading...