Serikali ya Uingereza imeondoa umri wa kisheria wa kustaafu, Jee Tanzania iige? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Uingereza imeondoa umri wa kisheria wa kustaafu, Jee Tanzania iige?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndachuwa, Jul 30, 2010.

 1. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Serikali ya Uingereza imeondoa umri wa kisheria wa kustaafu ili kupunguza malipo yanalipwa na mifuko ya uzeeni.

  Nafikiri kwa Tanzania tukiamua kama wao itapunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watumishi waandamizi serikalini wanaokimbilia vyeo vya kisiasi pindi wanapokaribia umri wa kustaafu. Adhari zake, idadi kubwa ya wahitimu wa vyuo vyetu vikuu itabidi wasubiri sana kupanda vyeo au hata kupata ajira.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,298
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Nini kura yako?
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ni kwa sababu, Uingereza wazee ni wengi sana ukilinganisha nguvu kazi ya vijana ambao inalazimu walipe kodi kubwa inayotumika kuwatunza.
  hapa TZ ni vigumu kufika hapo. Sisi tunamtii Mungu sana Kuzaa na Kuijaza nchi.
   
Loading...