Vandetta
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,545
- 1,905
Rais wako kakurupuka kwenye hili, angeweza kuonyesha busara kwa kuomba mazungumzo.. utadhania alikua anasubiria Kenya wachemke awafundishe ujeuri! Sijui nani kamshauri kufanya hivi, yaani anasahau Kama ni yeye ndie alitoa tausi! Lol
We kilaza wa kiwango cha SGR... Yaan umezuiwa halafu niombe mazunguzo???