Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Kwa hiyo wamezuia precision na si watanzania siyo? Huo Mambo ya uchumi yanahusu nauli anazokusanya precision au interaction ya watu wa nchi hizo mbili? Kwamba wakibebwa na KQ iwe uhujumu uchumiKwani tukisema ndege za TANZANIA unajua Atcl tu ? C kuna precision air .kudhurumika kupo kama unafatilia mambo ya kiuchumi utaona athari zake .athari zake wakenya watakuja Tz lakini wa Tz hawatoenda kwahiyo hata kama kulikuwa na waTZ wameajiliwa Kenya hawatoenda ila wakenya watafanya kazi bongo nyengine watalii wataweza kwenda Kenya kisha kuja TANZANIA ila waliokua Tz hawatoweza kwenda Kenya kwahiyo itapelekea watalii wengi wakitaka kuja TANZANIA kisha wamalizie Kenya wataghairi zipo nyingi kwenye hiyo hila