Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 768
- 1,959
Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"
Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Beberuu anahusikajee tenaaa jamaniNikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?