Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Pagumui sana hapaa...!! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya

MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Wewe unaonaje? Wao kupiga marufuku sisi kwenda kwao ni sawa? Jino kwa jino! Diplomasia ya kinafiki haina nafasi. Wakitimua raia wa Tz tunatimua wao.
 
Bado, hiyo ni mwanzo tu, subiri Jumatatu kuna hatua kali zingine zitafuata.
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo Jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yaani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na Jambo Jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air
 
Wewe unaonaje? Wao kupiga sisi kwenda kwao ni sawa? Jino kwa jino! Diplomasia ya kinafiki haina nafasi. Wakitimua raia wa Tz tunatimua wao.
Ndio tunakoenda mkuu! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
 
Akikupiga ngumi ya Sikio halafu anakuuliza Umeskiaje, Wewe Mpige ya Jicho tu halafu muulize ameonaje.

IMG-20200731-WA0098.jpg
 
Ndo tunakoenda mkuu...!! Mzee hakuwa na haja ya kurudishaa wale wajumbe mbona yeye huwa haendii sasa anataka wenzake wamtukuzee kama nani.
Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Hakuna ndege yoyote inayomilikiwa na Kenya iitakayoruhusiwa kuingia Tanzania, Precision air ni kampuni la Kitanzania, wakenya wamenunua hisa tu, lakini accounts zote na HQ ipo Tanzania.
 
Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Unajua wajumbe waliokuja kwenye msiba wa Mkapa walirudia angani???? Wangekuwa hawana mafuta ya kutosha mbona wangenyooka
 
Back
Top Bottom