#COVID19 Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

Mr.delta yupo tangu mechi iliyopita ya Simba na Yanga,

Waliohudhuria mechi umesikia wamekufa wangapi?
 
Kutapatapa kwa CCM, wanaogopa vuguvugu la katiba mpya.
Kupumua kwao wanaona afadhali wamuweke mbowe ndani.....
Mdude alisema walinyoa Magufuri mbele ya Mbowe,na Mbowe wala akukanusha wala kutengua kauli za Mdude, hivo inaonekana Chadema wanahajenda mbaya juu ya viongozi wa serikali, maana walisema wembe ulionyoa Magufuri ndio huo utakao nyoa Samia.
 
Mr.delta yupo tangu mechi iliyopita ya Simba na Yanga,

Waliohudhuria mechi umesikia wamekufa wangapi?
Uchuro mtupu watuache tukashangilie kivyetuvyetu. WHO wanazingua toka kitambo sisi tunaingia uwanjani na tunatoka fresh tu. Akuna mtu aliyefariki. Wasitutishe kwani delta ndo nani, Tanzania tuondokane na kuburuzwa ondoeni hofu. Wanatangaza delta kama kiama vile akati poa tu
 
Katiba Mpya na makongamano yake ndio mkusanyiko kulingana na akili za CCM, hilo la mpira halina threat yoyote kwao wanaacha liendelee wao wanasubiri mapato ya mlangoni tu.
 
Katiba Mpya na makongamano yake ndio mkusanyiko kulingana na akili za CCM, hilo la mpira halina threat yoyote kwao wanaacha liendelee wao wanasubiri mapato ya mlangoni tu.
Hapo ndo UDIKTETA unapoanikwa mchana kweupe...
 
Shule zifunge na vyuo
Ccm nao wasikusanyike
Maeneo ya usafiri yafatiliwe kwa kina
Uwanjani Mashabik wasiingie
Serikali itangaze idadi ya vifo nawagonjwa

Mikusanyiko kuhusu chokochoko nimuhimu sana na imeboreshwa

Kwapamoja tuishinde corona

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Je harusi za watu kuoana na kufanyia harusi ukumbini napo inaruhusiwa ama
 
Kama kweli serikali ipo serious mechi ya Simba na Yanga tarehe 24/07/2021 watazamaji wasiingie
 
Kama kweli serikali ipo serious mechi ya Simba na Yanga tarehe 24/07/2021 watazamaji wasiingie
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom