Serikali ya Tanzania yapokea Tsh. 1.185 Bilioni kutoka kwa Wadau ili kupambana na Corona. Yabaibisha akaunti ya benki kwa anayetaka kuchangia

Wanakulaga michango hao, washakula rambirambi zetu sana....hizo pesa bora mkanunue stock ya chakula
Akina nyie ndo mnoongoza kuwasema wachungaji kwamba wanakula pesa, halafu kumbe wewe mwenyewe umejitahidi saana kutoa sadaka Kwa wiki ni 500/ halafu kelele zake sasa!!

Waliobarikiwa hawahesabu uwingi wa utoaji wao, waliobarikiwa hawazilaani njia walizopita kusa tu wamekutana na ombaomba siku hiyo, waliobarikiwa wanazijua baraka zao, ule usile shauri yako yeye ameshavuna zake baraka

Mkute masikini sasa, ataulizia pesa na sadaka yake ilitumikaje,

Kutoa ni moyo mkuu
 
Wagonjwa si 13 tu ? Mbona purukushani nyingi hapa mtaani, au kuna kitu tunafichwa ?
 
Akina nyie ndo mnoongoza kuwasema wachungaji kwamba wanakula pesa, halafu kumbe wewe mwenyewe umejitahidi saana kutoa sadaka Kwa wiki ni 500/ halafu kelele zake sasa!!

Waliobarikiwa hawahesabu uwingi wa utoaji wao, waliobarikiwa hawazilaani njia walizopita kusa tu wamekutana na ombaomba siku hiyo, waliobarikiwa wanazijua baraka zao, ule usile shauri yako yeye ameshavuna zake baraka

Mkute masikini sasa, ataulizia pesa na sadaka yake ilitumikaje,

Kutoa ni moyo mkuu
Mkuu una maanisha 500 siyo pesa?je hizo 500 zinaokotwa wapi?
 
Mkuu hivi unasukumiziwagwa pipe?
 
Ha
Mkuu una maanisha 500 siyo pesa?je hizo 500 zinaokotwa wapi?
Hapana mkuu, sikumaanisha hivyo mkuu, ni pesa Ila ikitolewa kama sadaka basi achana Nayo, kwamba itaenda kufanya nini hiyo si yako mkuu, Ila ni Kwa watu waliobarikiwa tu,

Kwa kuwa ni kitasisi, basi mamlaka za ukaguzi zitafanya kazi yake, mkuu toa ulichonacho, maana duniani si unajua tulikuja watupu na kurudi tutarudi watupu mkuu,
 
Mkuu hivi unasukumiziwagwa pipe?
Mkuu, hapo ndo umenitukana sasa? Wewe utakuwa si mbongo mkuu, maana mbongo akiamua kumtukana mtu, siku itamwendea vibaya, ongeza tena tusi mkuu mbona bado Sana 😂 usipo nitukana nitakuamshia Mimi, lkn kama nakuona ni mtu mstarabu vile
 
Watanzania wanaopenda kuchangia fedha kukabiliana na Corona, akaunti namba yatolewa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kukabiliana na ugonjwa wa Corona ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huu nchini

Kauli hiyo ameitoa baada ya kukabidhiwa msaada wa vifaa kinga, fedha na dawa kutoka taasisi, kampuni na umoja wa mama ntilie nchini

Kassim Majaliwa amesema kuwa Watanzania wanapaswa kuzingatia kuchukua tahadhari kama vile kunawa mikono mara kwa mara kwa maji yanayotiririka na kuepuka misongamano ili kudhibiti janga hili kubwa lililozikumba pia mataifa makubwa

Amesema Watanzania wanaopenda kuchangia jitihada za kukabiliana na ugonjwa huu, wachangie fedha Benki Kuu kupitia akaunti ya National Relief Fund Electronic, namba 9921159801 na kwamba wanaweza kuchangia kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto

Hii taarifa kutoka kwa Afisi ya Waziri Mkuu ambayo haina saini wala jina la mwandishi imekaa vipi?
TAHADHARI NA WAPIGA DILIGENCE A.K.A WAPIGAJI!
 
Mkuu, hapo ndo umenitukana sasa? Wewe utakuwa si mbongo mkuu, maana mbongo akiamua kumtukana mtu, siku itamwendea vibaya, ongeza tena tusi mkuu mbona bado Sana 😂 usipo nitukana nitakuamshia Mimi, lkn kama nakuona ni mtu mstarabu vile
Rudia kusoma ulichonijibu.
Unataka kufananisha habari za sadaka na huu ujinga unaoendelea?
 
Rudia kusoma ulichonijibu.
Unataka kufananisha habari za sadaka na huu ujinga unaoendelea?
Hata mwanzo ulitakiwa useme hivi sasa, sio unnakurupuka tu na kuanza kutamka maneno ya wendawazimu au na wewe ni walewale?

Ngombe kasoro mkia wewe, Kwanza hili la kusema maneno haya mabovu umenilazimisha, Njololo mkubwa wewe na ukome kutukana watu, mende wewe!
 
Back
Top Bottom