Vipi, bado una msimamo huu huu?Hilo ni jambo zuri tu.
Sioni tatizo kabisa hapo.

Baby utanioa lini? Sina cheti cha kuzaliwa baby. Ahsante sana serekali ya awam ya tanoBaada ya Makonda Kusema wakazi wa Dar es Salaam watatumia Credit cards kununulia Fungu la Dagaa Mchele Mwakyembe amekuja na Hilo.
View attachment 482068
======
MOROGORO
SERIKALI imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hayo leo akiwa katika ziara yake mkoani hapa na kuongeza kuwa serikali imeamua kufanya hivyo ili kupata takwimu sahihi za wananchi wake zitakazosaidia kupanga mipango ya kimaendeleo sanjari na kuzuia wageni kuingia kinyemela nchini.
Pamoja na mambo mengine, Dk.Mwakyembe amewataka Wakala wa Usajili wa vizazi na Vifo (RITA), kuhakikisha inasimamia sheria ya usajili ambapo amesema kuwa bila kuwa na takwimu sahihi za vizazi na vifo ama ndoa inasababisha nchi kushindwa kusonga mbele kimaendeleo.
“Wenzetu nchi zilizoendelea suala la usajili wamelipa kipaumbele lakini sisi bado tuko nyuma, kwa mfano Mkoa wa Morogoro kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, inaonyesha kuna jumla ya wakazi milioni 2.2, lakini waliosajiliwa na kuwa na vyeti vya kuzaliwa ni asilimia 11 pekee huku wengine wakiwa bado hawasajiliwa,” amesema.
Dk. Mwakyembe pia ametumia nafasi hiyo kuwaonya watendaji wa mahakama watakaolalamikiwa na wananchi kufanya kazi kinyume na maadili ikiwamo upokeaji wa rushwa ama kutotenda haki na kutumia mahakama kugeuza kesi za madai kuwa kesi za jinai.
Chanzo: Mtanzania
Nadhani Magufuli amekata mzizi wa fitina ndio ujuwe huyu Mwakyembe Polonium imeshapanda kwenye ubongo, Mungu amrehemu tu.Hilo wazo kwa ujumla wake si baya hata kidogo.
Kama ni changamoto, sawa nakubali zipo.
Lakini uwepo wa changamoto hakulifanyi hilo wazo kuwa ni bovu.
Magufuli keshakataa hilo mbona mko nyuma sana nyiyinyi yani basi tu ionekane serikali mbovu.Baada ya Makonda Kusema wakazi wa Dar es Salaam watatumia Credit cards kununulia Fungu la Dagaa Mchele Mwakyembe amekuja na Hilo.
View attachment 482068
======
MOROGORO
SERIKALI imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hayo leo akiwa katika ziara yake mkoani hapa na kuongeza kuwa serikali imeamua kufanya hivyo ili kupata takwimu sahihi za wananchi wake zitakazosaidia kupanga mipango ya kimaendeleo sanjari na kuzuia wageni kuingia kinyemela nchini.
Pamoja na mambo mengine, Dk.Mwakyembe amewataka Wakala wa Usajili wa vizazi na Vifo (RITA), kuhakikisha inasimamia sheria ya usajili ambapo amesema kuwa bila kuwa na takwimu sahihi za vizazi na vifo ama ndoa inasababisha nchi kushindwa kusonga mbele kimaendeleo.
“Wenzetu nchi zilizoendelea suala la usajili wamelipa kipaumbele lakini sisi bado tuko nyuma, kwa mfano Mkoa wa Morogoro kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, inaonyesha kuna jumla ya wakazi milioni 2.2, lakini waliosajiliwa na kuwa na vyeti vya kuzaliwa ni asilimia 11 pekee huku wengine wakiwa bado hawasajiliwa,” amesema.
Dk. Mwakyembe pia ametumia nafasi hiyo kuwaonya watendaji wa mahakama watakaolalamikiwa na wananchi kufanya kazi kinyume na maadili ikiwamo upokeaji wa rushwa ama kutotenda haki na kutumia mahakama kugeuza kesi za madai kuwa kesi za jinai.
Chanzo: Mtanzania
Baada ya Makonda Kusema wakazi wa Dar es Salaam watatumia Credit cards kununulia Fungu la Dagaa Mchele Mwakyembe amekuja na Hilo.

Mungu nisamehe lkn magonjwa mengine yakimpata binadamu yanamharibu mpaka ubongo. Mwakyembe umekuwa waziri wa sheria ovyo kuliko mawaziri wote tangu tupate Uhuru!!!! Yaani bora Lyatonga awe waziri wa sheria kuliko wewe.Kama kumekuwa na tofauti namna hii. Mwakyembe akiwa waziri anayesimamia sheria, anatoa tamko bila bosi wake kujua na ajajua maana ya serikali ni wazi ameshindwa kumshauri rais. ajiuzulu bila kufukuzwa. Hata akiachwa hapo, amekosa credibility ya kuongoza wizara hiyo. Pole Mwakyembe.
Yaani hii nchi na huu utawala uliojaa matamko itafika mahala wananchi tutapangiwa mpaka ratiba ya kuwato.mba wake zetu.!...................Nchi hii ni vichekesho kwa kweli. Lengo lake ni nini?
Hapo kwenye hiyo sumu iliyoondoka na akili zake nimecheka mpaka mke wangu kaamka maana naye hana cheti cha kuzaliwa.Sisi Wakatoliki,wafausi wa Vatican,cheti cha ubatizo kina nguvu sana kuliko cheti cha kuzaliwa.
Ndio kusema,kabla ya ndoa,lazima uwe umepitia na kupata sacramento nyingine za msingi kama ubatizo,kumunio ya kwanza na Kipaimara...Maana kwetu tuna imani huwezi kubatizwa kama hujawahi kuzaliwa.
Na kwetu wakatoliki,kuzaliwa mara ya pili kwa njia ya ubatizo,ni muhimu zaidi,maana kama kuzaliwa mara ya kwanza,kila mtu huzaliwa.
Vyeti vya kuzaliwa vinapatikana hata K'koo ule mtaa wa mabingwa wa kufoji nyaraka,lakini cha ubatizo ambacho ndio muhimu,hupatikana kwa maji na hatua tatu za ukatukumeni.
Huyu sumu ya polium ilienda na akili zake zote!!Mkatoliki aliyefoji umri ukitaka umkamate,muombe cheti cha ubatizo,au tembelea parokia alikobatiziwa!!Niliwahi kutembelea parokia ya Rubya huko Kagera kuna daftari la kumbukumbu ya wabatizwa la toka mwaka 1918
HUYU ALIYETAMKA HILI ,UPEO WAKE WA KUFIKIRI NAHISI UMEFIKA MWISHO. AACHIE HIYO NAFASIBaada ya Makonda Kusema wakazi wa Dar es Salaam watatumia Credit cards kununulia Fungu la Dagaa Mchele Mwakyembe amekuja na Hilo.
View attachment 482068
======
MOROGORO
SERIKALI imepiga marufuku watu kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa kuanzia Mei Mosi, mwaka huu.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amesema hayo leo akiwa katika ziara yake mkoani hapa na kuongeza kuwa serikali imeamua kufanya hivyo ili kupata takwimu sahihi za wananchi wake zitakazosaidia kupanga mipango ya kimaendeleo sanjari na kuzuia wageni kuingia kinyemela nchini.
Pamoja na mambo mengine, Dk.Mwakyembe amewataka Wakala wa Usajili wa vizazi na Vifo (RITA), kuhakikisha inasimamia sheria ya usajili ambapo amesema kuwa bila kuwa na takwimu sahihi za vizazi na vifo ama ndoa inasababisha nchi kushindwa kusonga mbele kimaendeleo.
“Wenzetu nchi zilizoendelea suala la usajili wamelipa kipaumbele lakini sisi bado tuko nyuma, kwa mfano Mkoa wa Morogoro kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, inaonyesha kuna jumla ya wakazi milioni 2.2, lakini waliosajiliwa na kuwa na vyeti vya kuzaliwa ni asilimia 11 pekee huku wengine wakiwa bado hawasajiliwa,” amesema.
Dk. Mwakyembe pia ametumia nafasi hiyo kuwaonya watendaji wa mahakama watakaolalamikiwa na wananchi kufanya kazi kinyume na maadili ikiwamo upokeaji wa rushwa ama kutotenda haki na kutumia mahakama kugeuza kesi za madai kuwa kesi za jinai.
Chanzo: Mtanzania
mwakyembe alikuwa ni kiongozi mzuri sana mika ya 2005 hadi 2010, ila baada ya kuumwa mda ule na akili nayo iliumwaHUYU ALIYETAMKA HILI ,UPEO WAKE WA KUFIKIRI NAHISI UMEFIKA MWISHO. AACHIE HIYO NAFASI