Serikali ya Tanzania yakaribisha tena wafanyabiashara kununua korosho

Mkuu hapo sio moja naona yote...ndege hiyo hapo tumeona inasukumwa na watu na yeye sijui kama anajiukiza....Koro..show nazo ndio hizi.... Acacia nayo ndo hiyo hapo, yaani ni zig zag tu ndani ya utawala wake....ngoja tuone meli hii itatia nanga wapi kwa kuwaya waya kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe akiwa anahutubia live watoto wangu wanamuogopa..my wife ananiambia jamaa anaweza kuwa ana roho ya mauti
 
Korosho za Mikoa ya kusini, lindi na Ntwala zilishanunuliwa zote na Rais na serikali yake...... Hizi zinazoitwa wanunuzi zitakua Za Mikoa ya Kigoma,Simiyi,Geita na Chattle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom