Serikali ya tanzania yaanza kuingilia uhuru wa kanisa la anglikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya tanzania yaanza kuingilia uhuru wa kanisa la anglikana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TUNTEMEKE, Nov 6, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Tanzania ambaye ndiyo alitoa msimamo wa serikali kuhusu swala la ushoga imeonekena kutaka kuligawa kanisa hilo na baadhi ya waumini wake hapa nchini. Baadhi ya waumini waliohojiwa na mwandishi wa habari hii walisema kuwa kitendo cha tanzania kutokuwatambua mashoga na wasagaji wakati katika jamii yetu wapo, tunawafahamu na wengine tunaishi nao , tunasali nao makanisani na misikitini ni kitendo cha kinafiki.
  wanadai kuwa kanisa hilo limewahi kutangaza kuwa ushoga ni halali kwao na askofu wa jimbo kuu la Dodoma aliunga mkono hoja hiyo na wala serikali haikumkemea, hivyo swala la ushoga na usagaji ni swala la kiimani zaidi kama ambavyo mapadre wa kanisa katoliki wasivyoruhusiwa kuowa. Walienda mabli zaidi na kutoa baadhi ya mifano kuwa katika mji mmoja tu wa Tanga kuna mashoga zaidi ya 100 na serkrli inajuwa hilo na hakuna hata kesi moja ya shoga iliyoko mahakamani kuthibitisha kuwa serikali ya Tanzania inapinga swala hilo> Kwa macheni, jolly club na maeneo mengine mengi tu jijini Dar yamejaa mashoga na polisi wanapishana nao na hakuna hata mmoja anayejaribu kuwakamata na
  kuwafungulia mashitaka.

  Ikumbukwe kuwa waziri mkuu wa uingerza amesema hayo kwa mjibu wa imani ya dini yake amabye yeye ni muangilikana na hilo swala la ushoga kwenye hilo kanisa ni sehemu ya imani yao.
  source; mazungumzo ya waumini wa kanisa la anglicana mjini dododma
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  MODs tafadhali fanyeni kazi yenu. JF is going down - fast! Jukwaa hili linatoa uhuru wa watu kutoa michango mbalimbali lakini haiminishi kuwa ni jukwaa la umbeya na michango ya maji taka. Msimamo rasmi wa Kanisa la Anglikana Tanzania unajulikana. Sijui ni kwa nini au ni kwa maslahi ya nini mleta mada hii ameaumua kuandika alichoandika. Maoni ya mchungaji mmoja au waumini wawili nje ya mfumo rasmi wa kanisa hauwezi kuchukuliwa kama huo ndio msimamo wa kanisa.

  Kwa mtindo huu tunaua kabisa reputation nzuri ya JF.
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wasukumizane ngozi hukohuko kwenye kanisa lao la Anglikana,m nadhani tuweke sheria madhubuti na sisi kama raia weng wao tuonapnga ushoga tuongoze mapgano,wajifche vivyohvyo kuliko kuoekana wazi.AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
   
 4. JOASH MUSSA

  JOASH MUSSA JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hayo mambo yanafanyika sawa na uchafu mwingine, hilo kanisa la Anglican kama linataka kujiingiza katika harakati za kuwatetea mashoga wajiingize tu, na kama wanajiridhisha serikali haiwakamati wajaribu kufungisha ndoa then we shall see what we shall see
   
 5. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nina wasiwasi n souce yako. By the way mods ondoeni upupu huu uliojengwa na hisia za huyu mtu.
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kazi ni kwenu jamani hayo ni maoni ya watu
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Serikali haina Dini na msimamo wake ndio huo inapinga vitendo vya ushoga kama wapo nikama mwauza gongo kwani wapo lakini serikali haiwatambui!!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280

  shame on you mtoa mada hii, mtu mzima huoni aibu kudanganya. hovyoooo
   
 9. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  umeona eeenh....msameheni hajui asemalo....
   
 10. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  let your speech be better than silent otherwise be silent
   
Loading...