Serikali ya tanzania ni moja kati ya nchi za africa zinazo uza aridhi kwa wageni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya tanzania ni moja kati ya nchi za africa zinazo uza aridhi kwa wageni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Jun 20, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Baada ya kuona makala Moja hapa inahusu Twiga kuuzwa nikaona ni bora pia niwape habari hizi ambazo ndani ya week mbile zilizo pita kweny Sky News TV ya UK ilikuwa inaeleza Serikali Corrupt za Africa 7 zinazo ongoza katika kuuza aridhi za wananchi wao kwa wageni Tanzania ilikuwa Mojawapo,

  Nikajiuliza sana kwani marais wetu wanakuwa watumwa kwa hawa watu wa nchi za magharibi ndio huu uwekezaji au ndio Ukoloni unarudi kwa style nyingine?  http://relooney.info/0_NS4053_815.pdf
   
Loading...