Serikali ya Tanzania na viongozi wote mnashusha elimu ya Tanzania

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,229
Chuo cha UDSM ambacho ndio cha kwanza hapa Tanzania kwa ubora wa elimu kimeshika nafasi ya 42 kati ya vyuo vyote vya Afrika.

Kama UDSM kimeshika nafasi ya 42 kiafrika na ndio cha kwanza kwenye ubora Tanzania. Vyuo vinavyobakia hata kwenye list havimo. Havimo kabisa.

Hivyo ni dhahiri elimu yetu sio kitu tena. Inadidimia na yote hayo kuendekeza siasa kwenye mambo ya elimu. Hii ni aibu it means viongozi wanafeli those way performance ni very low.

 
Chuo cha wapuuzi na wanaharakati wadwanzi ndio kiwe chuo Bora

USSR
 
Jpm aligawiwa PhD pale tunajua tuliokuwa Department of Chemistry miaka ya 2000 mwanzoni.
 
Back
Top Bottom