Serikali ya Tanzania- Mabilioni yanayo potea hamuyaoni?

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,580
4,262
Ndugu zangu wenye uchungu na nchi hii....
Nimekuwa nafikiria mambo mengi ambayo hayaendi vizuri ninayo kama manne hapa nasema moja tu;

Kuna viongozi wengi wa Idara kuanzia Wilayani hadi Taifani wanatumia magari ya serikali
Kwa mtazamo wangu, hao viongozi wapewe mkopo wanunue magari wanayoweza kuyalipa kwa muda usio mrefu.
Itashangaza ukienda office nyingi wafanyazi wa kawaida sana wapo na vigari vyao angalau ka Vitz ila eti mkurugenzi hana gari anasubiri afuatwe na gari la office?????

Hao wakuu wote wakipewa magari, nashauri utaratibu wa kawaida wa kuwapa allowance ya mafuta uendelee; ilamafuta yawekwe kwenye magari yao.
Pia nashauri, Kigezo cha mtu kujua kuendesha gari kiongezwe kwenye ajira kuanzia "level" flani ya madaraka kama wenzetu wa nchi nyingine.

Kwa namna hiyo tuta nufaika kwa;

  • Kukwepa gharama KUBWA za matengenezo ambazo karibia asilimia 98% huwa ni za kughushi

  • Kupunguza gharama za magari ya serikali ambayo mengi huwa yanaendeshwa kwa uzembe kwa kigezo kuwa wao sio watengenezaji yakiharibika (uliza watu wanao kaa vivijini waone yanakopita kwa vurugu hasa yakiwa bila viongozi)

  • Kunguza gharama za kununua magari mengi ya idara za Serikali kwani wakuu watakuwa wanatumia magari ya idara kwa kazi maalum tu zinazo ambatana na kusafiri mbali.

  • Kuwafanya wakuu wawajibike zaidi kwa kuwa ontime na bila kisingizio driver amechelewa kwani wengi watakuwa wanaendesha magari wenyewe

  • Kukwepa gharama kubwa za kuendesha magarage kwani yapo kama mtaji kwa watu wachache
  • Binafsi siamini kama mashangingi ni magari mazuri ya kwendea vijijini!!!! kwanza yapo bei ya juu sana matengenezo yake ndio usiseme....
Unaweza kujiuliza ni bilioni ngapi zinatumiaka kwa uendeshaji wa magari ya serikali yasiyo kuwa ya lazima????

Mwisho;
Nashauri kuwepo garage maalum ambazo serikali itaingia nazo mkataba wa kutengenezewa magari; ikibidi siwe zina milikiwa na mtu makini ambaye hongo ndogo ndogo hatazitanguliaza mbele.
Kwa kuingia mkataba; tuna epuka gharama zoote zinazo ambatana na uendeshaji wa magarage..

Natamani tusimamie vizuri tulivyo navyo kabla ya kuhamishia mizigo yoote ya kodi kwa walala hoi

Nawakilisha!
 
Ndugu zangu wenye uchungu na nchi hii....
Nimekuwa nafikiria mambo mengi ambayo hayaendi vizuri ninayo kama manne hapa nasema moja tu;

Kuna viongozi wengi wa Idara kuanzia Wilayani hadi Taifani wanatumia magari ya serikali
Kwa mtazamo wangu, hao viongozi wapewe mkopo wanunue magari wanayoweza kuyalipa kwa muda usio mrefu.
Itashangaza ukienda office nyingi wafanyazi wa kawaida sana wapo na vigari vyao angalau ka Vitz ila eti mkurugenzi hana gari anasubiri afuatwe na gari la office?????

Hao wakuu wote wakipewa magari, nashauri utaratibu wa kawaida wa kuwapa allowance ya mafuta uendelee; ilamafuta yawekwe kwenye magari yao.
Pia nashauri, Kigezo cha mtu kujua kuendesha gari kiongezwe kwenye ajira kuanzia "level" flani ya madaraka kama wenzetu wa nchi nyingine.

Kwa namna hiyo tuta nufaika kwa;

Kukwepa gharama KUBWA za matengenezo ambazo karibia asilimia 98% huwa ni za kughushi
Kupunguza gharama za magari ya serikali ambayo mengi huwa yanaendeshwa kwa uzembe kwa kigezo kuwa wao sio watengenezaji yakiharibika (uliza watu wanao kaa vivijini waone yanakopita kwa vurugu hasa yakiwa bila viongozi)
Kunguza gharama za kununua magari mengi ya maidara kwani wakuu watakuwa wanatumia magari ya idara kwa kazi maalum tu zinazo ambatana na kusafiri mbali.
Kuwafanya wakuu wawajibike zaidi kwa kuwa ontime na bila kisingizio driver amechelewa
Kukwepa gharama kubwa za kuendesha magarage kwani yapo kama mtaji kwa watu

Mwisho;
Nashauri kuwepo garage maalum ambazo serikali itaingia nazo mkataba wa kutengenezewa magari; ikibidi siwe zina milikiwa na mtu wa nje ambao kwao hongo ndogo ndogo hawazitangulizi mbele.
Kwa kuingia mkataba; tuna epuka gharama zoote zinazo ambatana na uendeshaji wa magarage..

Natamani tusimamie vizuri tulivyo navyo kabla ya kuhamishia mizigo yoote ya kodi kwa walala hoi

Nawakilisha!

Ambiere kwa kiasi fulani nakubalina na wewe
Ni kweli kuna upotevu mkubwa wa fedha za umma kwenye matumizi ya magari na kama wakiweka utaratibu mzuri wanaweza kuokoa pesa nyingi tuu.
Mfano hakuna haja ya kununua shangingi la milioni mia kadhaa wakati unaweza nunua gari ingne kwa gaharama nusu ya hiyo.

Ila ukisema pawepo na garage zinazomolikiwa na watu wa nje sijui kama ni sahihi au ndio kuurudisha ukoloni kimya kimya??
Siku ingene utasema rais awe mtu wa nje, sasa hapo sijui itakuawaje Ambiere.
 
Back
Top Bottom