Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi wapya 44,811

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Chanzo: Gazeti la mwananchi
20200416_070454.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo gazeti wamechapisha pia habari za CVd -19? Maana najua habari ya kuajiriri watumishi ni type error, imekaa kwenye mashine zao tokea miaka Ile tunatamanishwa kwamba watumishi wataajiriwa, wakasahau kuifuta, Wapuuzi Sana gazeti hilo
 
Hivi zile ajira za kuanzia February mwaka huu sijui alfu ngapi zimeishia wapi vile? Vijana wafundishwe ujasiriamali ambao na wenyewe umevurugwa na Corona.
 
Magu kapewa nchi safi kabisa, haina majanga lakini katepeta.

Sasa Imeingia Corona ndio kabisaa.

Mwaka 2019 hakuajiri kabisa na hakuwa na majanga, ataajiri vipi mwaka huu wakati anahonga watu ashinde uchaguzi
 
Back
Top Bottom