fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
Serikali yetu ipo tayari kuona ng'ombe, mbuzi, kondoo wanakufa kwa kukosa majani, na pia kuikamata kabisa pale tu inapoingizwa katika mbuga zilizoshamiri majani tele.....
Lakini wanalinda wanyama wa polini kwa gharama yoyote ile hadi inafika wakati mnyama wa porini anathaminiwa kuliko binadamu, mfano mzuri ni wafugaji waliouliwa na jeshi la polisi jana,
Pia faru John kaibwa au kauliwa wote hatujui kesi yake imekuwa kubwa sanaaa,lakini binadamu wangapi wanauawa, polisi wanawapiga raia pasipo na hatia mfano ktk chaguzi mbalimbali hapa nchini lakini hakuna mashtaka yoyote.........
The question is that kwanini mambo haya yanatokea ktk nchi yetu, tafakari na chukua hatua immediately.......??