Serikali ya Tanzania inahofia kuvunja muungano kwa sababu hizi

Ndio inawezekana sehemu ya pwani ilikuwa ya Zanzibar... lakini mipaka inayotambulika in ile baada ya Mkutano wa berlin
 
(1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.
Sababu moja nzuri ya kutoliacha koloni letu la Zanzibar
 
(1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.

Abui2012,

..karibu JF. haya masuala tumeshayajadili sana hapa Jamii Forums.

..unaweza ukatafuta mada zake na kujielimisha kwa kina zaidi.

1.Kilomita 10 ukanda wa Pwani:

..Sultani wa Zanzibar aliliuza eneo la ukanda wa Pwani kwa Wajerumani.

..eneo hilo lingekuwa mali halali ya Sultani basi angelidai baada ya Ujerumani kushindwa vita kuu ya kwanza.

..Zanzibar ikianza kulidai eneo hilo basi itaingia kwenye migogoro na nchi za Tanganyika,Kenya,Msumbiji,na hata Somalia.

..wakati wa kuanzisha OAU mataifa ya Afrika yaliazimia kuheshimu mipaka ya Afrika iliyoachwa na wakoloni.

2.Kiti cha Umoja wa Mataifa:

..Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961.

..Zanzibar ilipata "uhuru" mwaka 1963.

..inapotokea nchi kupata uhuru basi moja kwa moja hupewa uanachama na Umoja wa mataifa, UN.

..kwa msingi huo utaona kwamba Tanganyika ilipata uanachama wa UN miaka 2 kabla ya Zanzibar.

..tulipoungana kila nchi ili-surrender uanachama wake, na akapatikana mwanachama mpya Tanzania.

..ikitokea muungano ukavunjika basi Tanganyika na Zanzibar zitarejeshewa uanachama wao bila matatatizo yoyote yale.

NB:

..wana JF msimtukane huyu ndugu yetu.

..haya maneno yanazungumzwa sana huko mitaani. naamini ameyaleta hapa ili kupata ufafanuzi wa uhakika.
 
(1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.
Mmmmmmmhhhhh!!!!!!!!!! haya sasa
 
mimi sibadili msimamo wangu wazanzibar wengi cyo wasomi wao husoma dini tu lakini elimu dunia hawana muamko kisha hawa watu ni wabaguzi wakidini kuliko hata huko arabuni na km mnavyojua nchi zinazoendekeza ukabila na udini ndo hazina maendeleo hawa watu wanaUPEMBA NA UUNGUJA na ndo moja ya vitu vinavyowakwamisha kimaendeleo
watanganyika milioni 14 hawajui kusoma na kuandika. nasikia siku hizi kuna shule za kata mtoto anamaliza darasa la saba hajui kusoma hata kiswahili duhh kwa usomi huu mmetupita kweli. maana dar mabasi yanajulikana kwa rangi mijitu mingi haikwenda shule hahahahhahahhahaahh
ndo maana CCM INAPATA USHINDI 70%
 
kaka ebu futa hii kitu yako ulioleta humu na next time ujipange usilete maneno ya maskani za Zanzibar za wtu ambao si wasomi,Ndiyo wazanzibar wengi hawasomi hiususa hao wamakunduchi na UPUMBAVU WA CCM walijiwekea eti ikitota madarakani watakuja waarabu watachukua nchi na pia hofu yao kubwa ni kukosa kazi za majeshi

Ahsante mkuu, #wamakumduchi tumelipokea tusi lako kwa mikono miwili...
 
(1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.

Period kati ya KARNE 15 na 17 Maeneo hayo yote yalikuwa yanamilikiwa na PORTUGUESE habla ya hata waarabu toka Oman hawajaijua hiii Kanda ya Africa ya Mashariki na wakati huo
 
(1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.

Wakuu, hakuna kitu cha kijinga kwa asilimia 100, anachotaka kusema ni kwamba, mipaka ya Zanzibar kwa upande wa bara, inaingia ndani kuelekea kimara kwa kilomita kumi, kutoka posta hadi ubungu ni km 8, ukiongeza mbili ndo mpaka wa zanzibar unaishia. Hivyo, vunjeni muungano muwe wazanzibari bara.
 
Hajui asemalo huyo,hajui hata hizo km 10 sultan alitawala wakati gani na baadae kilitokea nini. A consult elimu yake ya history kwanza kisha ndio aje hapa!
Wakuu, hakuna kitu cha kijinga kwa asilimia 100, anachotaka kusema ni kwamba, mipaka ya Zanzibar kwa upande wa bara, inaingia ndani kuelekea kimara kwa kilomita kumi, kutoka posta hadi ubungu ni km 8, ukiongeza mbili ndo mpaka wa zanzibar unaishia. Hivyo, vunjeni muungano muwe wazanzibari bara.
 
Mototo akililia wembe wakati mwingine mpe ukimkata atashika adabu. Tulibezwa sana wakati wa Njonjo, Moi na Mzee Kenyata wakishadidia kuvunjika kwa EAC leo wanatuhitaji sana. Mie natamani wanaodhani hao wazanzibar ambao hawakuyaona mateso waliofanyiwa bibi zao na mababu wao kufanywa watumwa, kama na wao wanatamani wapeni wakionja joto ya jiwe watarudi kwa adabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom