Serikali ya Tanzania inahofia kuvunja muungano kwa sababu hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania inahofia kuvunja muungano kwa sababu hizi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtalii1, Apr 25, 2012.

 1. m

  mtalii1 Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  (1) Kilomita kumi kutoka ukanda wa pwani, hili sio jambo la kuzungumza kisiasa tu hili liko umoja wa mataifa na mipaka yote inajulikana. (2) Kiti cha umoja wa mataifa kilichoka sio cha TANGANYIKA ni cha ZANZIBAR.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sijaona point ya msingi, hususan namba 2 ndo pumba square
   
 3. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka ebu futa hii kitu yako ulioleta humu na next time ujipange usilete maneno ya maskani za Zanzibar za wtu ambao si wasomi,Ndiyo wazanzibar wengi hawasomi hiususa hao wamakunduchi na UPUMBAVU WA CCM walijiwekea eti ikitota madarakani watakuja waarabu watachukua nchi na pia hofu yao kubwa ni kukosa kazi za majeshi
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ndio maana watoto wenu 3,300 wakafeli kama hichi ndio mnacho wafundisha kuhusu historia
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Wakuu, mukiongelea Wazanzibari kwamba si wasomi, huwa munakosea. Sema baadhi ya Wazanzibari sio Wazanzibari wote. Mbona hata Tanganyika wapo wasiosoma. Eti mtoto anapasi darasa la saba, hajui kuandika wala kusoma. Toa kibanzi katika jicho lako, kabla ya kutoa boriti katika jicho la mwenzio. VIVA JF.
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mkuu heshima mbele. Kuna vijana wa Tanganyika, ambao wamefaulu mitihani ya darasa la saba, hawajui kuandika wala kusoma. Jee hii imekaaje? Nifafanulie kidogo, sielewi elewi.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kajipange upyaa!
   
 8. m

  mharakati JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  1. security ni broad term, lakini km 10 hazitishii uhai wala maendeleo ya kiujumla Tanganyika, nafikiri sababu kuu ni za kisiasa zaidi kuliko hizo ulizoonyesha wewe.

  naweza kuongeza haswa muda huu kwenye haya mambo ya udini yenye imani kali (islamic fundamentalism), zanzibar ikiachwa peke yake kuna hatari ya kuingia kwenye uislamu wa aina hii na hii inaweza kua siyo kitu kizuri kwa Tanganyika kutokana na historia haswa ya nchi hizi mbili inaweza kushawishi na waislamu hapa tanganyika ,(ambao namba yao imekua haitajwi rasmi wa sababu za kiusalama), kudai na wenyewe sheria, manufaa maalum au hata serikali ya kiislamu..hii nafikiri ndiyo security threat ya znz kua nchi na siyo umbali tu, au UN seat.
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Una idadi yao kamili? Nifafanulie na wewe
   
 10. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kura ya maoni ndio dawa ya kero za muungano
   
 11. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Unaabisha watu wa kwenu! Futa huu ugolo haraka!
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Inaelekea hujui siasa wala historia. Tanganyika na Zanzibar zote zili jiunga na Umoja wa Mataifa kwa nyakati tofauti. Baada ya muungano ni Zanzibar iliyo asi kiti chake na kiti cha Tanganyika kikawa Tanzania. Ila kwa ufupi kwenye Umoja wa Mataifa haitambuliki Tanganyika wala Zanzibar kwa sasa kwa hiyo nchi ziki tengana lazima ziombe upya kujiunga na umoja huo. Ila pia hata kama kiti kingekua cha Zanzibar (which is not the case) isingekua tatizo kwa maana ingekua ni swala tu la kutuma maombi ya kujiunga. Hali ingekua tata kama Tanzania ingekua ina shikilia nafasi ya kudumu kwenye baraza la usalama (Security Council) ambapo kuna kura ya vitu na hakuna nchi inayo weza kutuma maombi kuepo kwenye nafasi ya kudumu.
   
 13. magosha

  magosha JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hakuna pointi hapo ni uzushi mtupu kajipange upya.
   
 14. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Binafsi sijaona sababu za msingi za kuvunja muungano. Mara nyingi watanzania bara wanasema wanataka kuvunja muungano kwa kuwa wanakerwa na matusi na shutuma za wazanzibari. Wazanzibari ukiwauliza kwa nini wanataka muungano uvunjwe unapewa sababu ambazo zinafanya ujiulize kama watu waliotawaliwa na waarabu kuna kitu kinaharibika katika namna yao ya kufikiri.

  Conclusion: Tatizo la muungano ni bara kutawaliwa na Mjerumani na Mwingereza na visiwani kutawaliwa na Mwarabu. Hakuna mkoloni mbaya kama Mwarabu. Ndugu zetu wengi Zanzibar wanahitaji msaada wa haraka wa Psychiatrists.
   
 15. C

  Chief JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sababu ya msingi ya kuvunja muungano ni kutokuwepo na sababu ya msingi wa kuwa na muungano, at least kama unavyoonekana kwa hali ya sasa, ukijumlisha na manunguniko ya wazenj.
   
 16. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sibadili msimamo wangu wazanzibar wengi cyo wasomi wao husoma dini tu lakini elimu dunia hawana muamko kisha hawa watu ni wabaguzi wakidini kuliko hata huko arabuni na km mnavyojua nchi zinazoendekeza ukabila na udini ndo hazina maendeleo hawa watu wanaUPEMBA NA UUNGUJA na ndo moja ya vitu vinavyowakwamisha kimaendeleo
   
 17. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa(wala urojo) ni heri tutengane nao tu, ikiwa mtu kama huyu aliyeleta hii thread ni 'Great Thinker', vipi kuhusu hao wengi wao ambao ni vilaza tu mawazo yao yakoje?

  Hivi umeshindwa kufikiria vyema hadi ukaandika hizo point zako mbili?
   
 18. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekurupuka.
   
 19. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,924
  Trophy Points: 280
  akili za wazenji utafikiri zimechwmshwa na maji ya mchele...mzanibari hata akisoma cambridge au oxford universities, akili zake na namna anavyo aju utafikiri amesoma chuo cha kiislam cha morogoro....mdebwedo tuuuu, yaani tuwaonee huruma tu jamani....kuongea mdebwedo, akili kichwani mdebwedo....kazi yao kuvizia tu watalii vibibi vya kitaliano walale navyo apate hela ya kwenda kuoa mke mwingine....dini zingine jamani ni mbaya sana, hazifai kuigwa.
   
 20. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar aina ya WAMAKUNDUCHI wao ni wajinga wa mwisho kwa ccm huchukuliwa na magari kupelekwa kwenye mikutano kisha wanaipigia kura ccm bila kujali wanamaendeleo au hawana ata liwekwe jiwe livaliswe bendera ya ccm watalipigia na ndo hawana maendeleo zanzibar nzima,kwa kurogana hao eeeh hawafai
   
Loading...