projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
kama nilivyo eleza kichwa cha hapo juu.
Selikari na wananchi wa tanzania,tumekuwa tunalemaa na kuathiliwa na hali ya utegemezi inayo pelekea kuathili viwango vya kufikiri vitakavyo sababisha kuwa na maendeleo na kujitegemea.
kama ilivyo kuwa katika miaka michache iliyo pita, serikali ya uingeleza ilitutishia kusitisha misaada mpaka tumekubali sheria ya ndoa za jinsia moja kwa wanawake na wanaume.
mfano huo ni sawa na mama wa kambo anapo mwambia mtoto mdogo anapo mtishia kuwa asipo fua nguo zake atanyimwa chakura.mambo haya ni sawa kabisa na nchi yetu hii inapokosa uhuru wa kujiendesha yenyewe kwa kutemea rasilimali za nje katika kujiendesha.
kwa kawaida hawa watu wa nje wamekuwa wakitengeneza kiu ili sisi tuje tuombe maji kwao.
tunamtia moyo raisi john pombe magufuri,asikate tamaa na azidi kutumbua majipu na kuyashugulikia ili Tanzania iweze kujitegemea yenyewe na sio kutegemea nchi za nje zenye urafiki wa kinafki na unyonyaji!
maendeleo hayo pia yatategemea sana usimamizi wa serikali na kila mtanzania anapo jitambua yaani mtanzania mmoja mmoja anapojitambua kwa kufanya kazi kwa bidii! basi tutaondokana na dhana hii ya kutegemea nchi zingine wakati huo tunalasilimali za kila aina.
Tanzania tunamali nyingi,tusiwe kama kuku anayepalulapalula akitafuta ulezi na wakati yupo katika kapu la ulezi.
muheshimiwa RAISI tunamuomba aongeze juhudi zaidi maana bado nguvu inahitajika.
naomba kuwasilisha.