Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Kama watu walikua wanapiga enzi za kutumia panga na mikuki, kwanini useme Somalia hawana uwezo wa kupigana?? Labda useme hawana uwezo wa kupigana conventional warfare ambayo hu husisha airstrikes, tanks, head to head battles.... Lakini kama ni kupigana ki guarilla warfare basi wamebobea tena sana, hapa itakua Ethiopia na Kenya wanapigana indirectly, yani tunawapatia silaha na mawaitha alafu wanapigana wenyewe (Proxy war)... Ni kama vile akina Turkey, Iran, Qatar, Saudi Arabia wanavyo pigana kwa proxy wars ndani ya Yemen na Syria... Kwa mfano Turkey inaunga mkono FSA rebels wakati USA inaunga mkono Kurdish forces.... FSA na Kurd hua wanapigana mara kwa mara hapo ndani ya Syria wakati Marekani na Turkey wote wako ndani ya NATO tena ni nchi ambazo zinauziana bidhaa na kufanya biashara.Jubaland wala Serikali ya Mogadishu hawana uwezo wowote wa kupigana vita, hii maana yake ni kwamba, KDF na Ethiopia army watapigana ndani ya ardhi ya Somalia, lengo la Ethiopia ni kuirudisha Jubaland mikononi mwa Farmajo ili waweze kutumia bandari ya Kismayo kama alternative Port ya Djibouti, Ethiopia haiwezi kukubali Jubaland ijitawale. Kenya jiandaeni kupambana na jeshi lenye nguvu sana ukanda huu, The Ethiopian Army".
..