Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

Jubaland wala Serikali ya Mogadishu hawana uwezo wowote wa kupigana vita, hii maana yake ni kwamba, KDF na Ethiopia army watapigana ndani ya ardhi ya Somalia, lengo la Ethiopia ni kuirudisha Jubaland mikononi mwa Farmajo ili waweze kutumia bandari ya Kismayo kama alternative Port ya Djibouti, Ethiopia haiwezi kukubali Jubaland ijitawale. Kenya jiandaeni kupambana na jeshi lenye nguvu sana ukanda huu, The Ethiopian Army".
Kama watu walikua wanapiga enzi za kutumia panga na mikuki, kwanini useme Somalia hawana uwezo wa kupigana?? Labda useme hawana uwezo wa kupigana conventional warfare ambayo hu husisha airstrikes, tanks, head to head battles.... Lakini kama ni kupigana ki guarilla warfare basi wamebobea tena sana, hapa itakua Ethiopia na Kenya wanapigana indirectly, yani tunawapatia silaha na mawaitha alafu wanapigana wenyewe (Proxy war)... Ni kama vile akina Turkey, Iran, Qatar, Saudi Arabia wanavyo pigana kwa proxy wars ndani ya Yemen na Syria... Kwa mfano Turkey inaunga mkono FSA rebels wakati USA inaunga mkono Kurdish forces.... FSA na Kurd hua wanapigana mara kwa mara hapo ndani ya Syria wakati Marekani na Turkey wote wako ndani ya NATO tena ni nchi ambazo zinauziana bidhaa na kufanya biashara.
..
 
Ninyi ni wageni wa kupigana vita vya aina hii, sisi ndio tuliopigana vita nyingi vya aina hii ndani ya ardhi ya nchi mbalimbali.

Haiwezikani kuona Jeshi la Somalia likisonga mbele kuikamata Kismayu wakati KDF inaangalia kwa macho, lazima tu watakwenda kuzuia majeshi ya Somalia kuuteka huo mji mkuu, kumbuka Jubaland hawana jeshi ukilinganisha na Somalia Army.
 
Jubaland zaidi yakuwa na jeshi lao wako Ras kamboni militia ambayo inaongozwa na Sheik Madobe.
 
Muhimu ni kujiandaa na vita dhidi ya Ethiopia ndani ya ardhi ya Somalia. Kumbuka hata jeshi la Uganda lilikua linaingia South Sudan kusaidia majeshi ya Garang', JWTZ tulikua tunapigana kwa niaba ya FRELIMO huko Msumbiji, ZANU PF & ZAPU huko Zimbabwe.
 
Ninyi ni wageni wa kupigana vita vya aina hii, sisi ndio tuliopigana vita nyingi vya aina hii ndani ya ardhi ya nchi mbalimbali.

Haiwezikani kuona Jeshi la Somalia likisonga mbele kuikamata Kismayu wakati KDF inaangalia kwa macho, lazima tu watakwenda kuzuia majeshi ya Somalia kuuteka huo mji mkuu, kumbuka Jubaland hawana jeshi ukilinganisha na Somalia Army.
Hamjawahi kupigana vita vya kigaidi, ile mmezoea ni wanamgambo wa kina M23 ambao ukiua walili hamsini wanakimbia..... Kule Somalia wanakuanzia na magari VBIED yanakuja yakiwa yamepakia mabumu yanalipuka hapo kwa mlango au fence, alafu first wave wanakuja kama mia tatu wamejipanga kwa laini za watu hamsini hamsini, gaidi wa mbele ndo ako na bunduki, ukimuua alie nyuma yake anaokota bunduki na kuendelea kusonga mbele, wanaendelea hivyo mpaka wafike karibu nawe alafu wanaanzza kujilipua kama wendawazimu!!! Baada ya kama dakika 15 mnakua mmepepeta maadui karibu wote lakini risasi zimeisha , ukifikiri vita vimeisha, kumbe kuna second wave nyengine magaidi kama 500 wanamiminika kutoka kila upande!
Alafu kwa kutega mabomu hata ndo usiulize, Bomu linapasua hadi vifaru na magari mengine ya kivita ambayo yanafaa kustahimili milipuka ya aina hio...
C6UXZddXEAQYsV7.jpg

6316501_3rao11fe_jpeg09aa7ebb6d8bdcc1cb7f60e50b12d17b
 
Kwanini Ethiopia au Uganda ambao walitangulia kwenda Somalia, kambi zao hazishambuliwi na kuuliwa hovyo kama KDF?, jibu lipo wazi kwamba KDF hawana uzoefu wowote wa vita, hii ndio Mara yao ya kwanza kupigana vita, wakati Uganda wamepigana vita ndani ya DRC na South Sudan, wakati Ethiopia wamepigana na Eretria.

Tanzania tumepigana huko Msumbiji, Zimbabwe, Namibia na South Africa, Uganda na DRC. Tunajua jinsi ya kujipanga, KDF wakikabiliana na Ethiopia army ndani ya ardhi ya Somalia, vita inaisha ndani ya wiki moja.
 
Hamjawahi kupigana vita vya kigaidi, ile mmezoea ni wanamgambo wa kina M23 ambao ukiua walili hamsini wanakimbia..... Kule Somalia wanakuanzia na magari VBIED yanakuja yakiwa yamepakia mabumu yanalipuka hapo kwa mlango au fence, alafu first wave wanakuja kama mia tatu wamejipanga kwa laini za watu hamsini hamsini, gaidi wa mbele ndo ako na bunduki, ukimuua alie nyuma yake anaokota bunduki na kuendelea kusonga mbele, wanaendelea hivyo mpaka wafike karibu nawe alafu wanaanzza kujilipua kama wendawazimu!!! Baada ya kama dakika 15 mnakua mmepepeta maadui karibu wote lakini risasi zimeisha , ukifikiri vita vimeisha, kumbe kuna second wave nyengine magaidi kama 500 wanamiminika kutoka kila upande!
Alafu kwa kutega mabomu hata ndo usiulize, Bomu linapasua hadi vifaru na magari mengine ya kivita ambayo yanafaa kustahimili milipuka ya aina hio...
C6UXZddXEAQYsV7.jpg

6316501_3rao11fe_jpeg09aa7ebb6d8bdcc1cb7f60e50b12d17b
Mmmh bro ht km hatujawahi pigana na magaidi ila vita ni vita.
Chukulia mfano wale wana mapinduzi wa Comoros walikua wanajeshi walotaka kumpindua kiongozi wao ila JWTZ ikawazima.
 
Hivi ni kweli kuna mtanange mpya kati ya KDF na Ethiopia au ni chenga tu
 
Back
Top Bottom