Serikali ya Somalia yatangaza rasmi kwamba KDF ni adui wa Somalia

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
 
by the time we are done with Somalia they will be speaking Swahili
Haya ni maumivu ya Rais Sheikh Madobe kushinda uchaguzi. Serikali dhaifu na rais wao Farmaajo kule Villa Somaaliya, Mogadishu, walidhani kwamba Kenya kumuunga mkono Madobe ilikuwa ni mzaha. Mipango ya Kenya kuhusu taifa la Jubbaland imetimia. Kesho utasikia kwamba Rais Madobe ametoa taarifa ya kukanusha haya madai ya Farmaajo na serikali yake. Hamna haja ya Kenya kujibu wala kushughulika na hivi vilio vyao. Hapa tunawaacha tu wakate viuno kwa mziki wetu kama vikaragosi.
 
Haya ni maumivu ya Rais Sheikh Madobe kushinda uchaguzi. Serikali dhaifu na rais wao Farmaajo kule Villa Somaaliya, Mogadishu walidhani kwamba Kenya kumuunga mkono Madobe ilikuwa ni mzaha. Mipango ya Kenya kuhusu taifa la Jubbaland imetimia. Kesho utasikia kwamba Rais Madobe ametoa taarifa ya kukanusha haya madai ya Farmaajo na serikali yake. Hamna haja ya Kenya kujibu wala kushughulika na hivi vilio vyao. Hapa tunawaacha tu wakate viuno kwa mziki wetu kama vikaragosi.
Some of these Somalis from Mogadishu are very emotional, most of them have no mental image of what a functioning govt can do to push its interests... they think we will use bullets, ha ha ha, They should remember how the ICC situation in Kenya was solved. By the time the cases were dismissed the whole world was against ICC...these days nobody even talks about ICC.
 
Hahaa! Farmaajo is translucent, just like a salamander. His antics remind me of this meme.
8151867_6850288youaredoingyourself15014108671942045231_jpeg2707bba674948e3386a8d88e0ffc8653
He is really doing himself, over and over.
 
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
Subiri Al Shabaab waanze kuripua visima vya mafuta kule Turkana hawa nyang'au akili itawakaa vizuri. Adui muombee njaa.
 
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
Shabab utamshinda vipi kama utamruhusu kupiga simu na kumruhusu
kupanga mashambulizi? Wacha waendelee kulialia tu.
 
Tayari tunapigana nao na tumeshawakalisha chini. Wao ndio wanapiga mayowe, sio sisi.
Tatizo lenu Kenya hamjui mlitendalo, mlikwenda Somalia bila mipango ya kueleweka, matokeo yake Kenya imeingia katika orodha za nchi zenye ugaidi duniani, Kenya inaendelea kulipa gharama kubwa kutokana na uamuzi ule wa hovyo.

Sasa mnajiingiza katika uhasama na Somalia, moja kwa moja mtakua mumeifanya Ethiopia ni adui yenu, je hiyo LAPSET yenu ambayo hata hivyo ilishajifia zamani itakuaje?, itabaki kuwa LAPST.

Muhimu sio kushindwa au kushindwa, ni lazima mjifunze kuishi kwa amani na majirani zenu. Sasa hivi Somalia na Ethiopia ni maadui zenu, South Sudan kuna mgogoro wa Ilemi triangle unatokota, Uganda kuna Migingo mnagombana. Mtaishije kwa amani kama mnagombana na majirani wote?
 
Hili sio jambo la kupuuza, uhusiano kati ya Serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Jumuiya ya kimataifa, AU na Ethiopia imetangaza rasmi kupitia Waziri wake kwamba KDF ni adui wa Somalia.

Hii ni hatari sana kwa usalama wa Kenya ambao tayari ni mbaya sana, hasa hasa baada ya KDF kujipeleka Somalia kichwa kichwa kuisadia serikali hiyo hiyo ya Somalia ambayo Leo inawaona KDF kuwa ni adui yao.
Serikali ya Somalia na sio ile ya Jubaland(Madobe) ambayo ni buffer zone...unatarajia Vita Ila hutaiona...afu vipi unajisahaulisha ATCL imekamatwa juu ya Madeni kwa mabwana zenu South Africa.😭😭😭
 
Tatizo lenu Tanzania hamjui mlitendalo, mlikwenda SA na ATCL bila mipango ya kueleweka, matokeo yake Tanzania imeingia katika orodha za nchi zenye kuhepa na Madeni duniani, Tanzania inaendelea kulipa gharama kubwa kutokana na uamuzi ule wa hovyo.

Sasa mnajiingiza katika uhasama na South Africa, moja kwa moja mtakua mumeifanya Namibia ni adui yenu, je hiyo ATCL yenu ambayo hata hivyo ilishajifia zamani itakuaje?, itabaki kuwa EX-ATCL

Muhimu sio kushindwa au kushindwa, ni lazima mjifunze kuishi kwa kulipa madeni za majirani zenu. Sasa hivi South Africa na Canada ni maadui zenu, Kenya kuna mgogoro wa kuchoma vifaranga unatokota, Uganda kuna Mifugo mlipiga mnada mnagombana. Mtaishije kwa amani kama mnagombana na majirani wote?
Hata Mimi nashangaa Sana ...canis lupus
 
Walifikiri wanaeza kujaribu kuchukia maritime zone yetu bila consiquenses , we also know how to play
 
We are also training there police and their doctors, nurses, civil servants , building roads etc

Now because you have been training them, they know you very well, they are going to use tactics against Kenya.
 
Back
Top Bottom