Serikali ya shirikisho tanzania iwe hivi.....

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
744
186
SERIKALI YA SHIRIKISHO TANZANIA

1. RAISI WA SHIRIKISHO MMOJA ASIYE NA MAKAMU
2. WIZARA 4 TU NAZO NI: -

i. ULINZI,
ii. URAIA NA UHAMIAJI BILA YA JESHI LA POLISI.
iii. FEDHA
iv. MAMBO YA NJE.

MPANGO MZIMA NI: -

1. MAWAZIRI WAWE 4 WASIO NA MANAIBU. WATUMISHI WACHACHE SANA KWA KILA WIZARA WASIZIDI 60 KWA KILA WIZARA NA WAWE NI NUSU KWA NUSU.

2. TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIWE NA SERIKALI KILA UPANDE UNAOSIMAMIWA NA MA RAISI WAO NA WIZARA AMBAZO HAZIKO KWENYE SHIRIKISHO.

3. LAZIMA MCHANGO WA KUENDESHA SERIKALI YA SHIRIKISHO UWE NI NUSU KWA NUSU KWA KILA NCHI MWANACHAMA.

4. TANGANYIKA IKUSANYE KODI KIVYAKE NA ZANZIBAR KIVYAKE NA ZIJIPANGIE MATUMIZI KIVYAKE.

5. BUNGE LA SHIRIKISHO LISIWE NA WABUNGE ZAIDI YA 20 KWA KILA UPANDE WA SHIRIKISHO KUTOA NUSU YA WABUNGE.

6. KILA NCHI IWE NA BANK KUU YAKE INGAWA FEDHA ZETU ZIWE NA SURA 2 TU ZA NYERERE NA KARUME.

7. KILA UPANDE UWE NA POLISI WAKE ILA JESHI LA ULINZI LIWE LA SHIRIKISHO.

MWISHO NI KUONDOA MANUNG'UNIKO YASIYO LAZIMA NA PIA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI SERIKALI YA SHIRIKISHO.

NAWASILISHA KWENU WANA JF KWA UCHAMBUZI ZAIDI NA KUONGEZA MINOFU KATIKA UZI HUU...
 
iyo ya 3 haiwezekani unless kila kitu kiwe saw km matumizi na ajira
 
Kwa upande wangu sina pingamizi mizali zanzibar itakuwa huru kujiamulia mambo yake yenyewe kitaifa na kimataifa sio kila siku kupiga magoti dodoma kuomba.
 
Muungano uvunjike kila mtu afie kwake! Hawa wapemba wamejaa bara vijukuu mpaka vilembwe waondoke na ardi yetu waachie
 
Uraia na uhamiaji
Mambo ya nje
Sarafu na bank kuu

Haya yatolewe katika muungano
SERIKALI YA SHIRIKISHO TANZANIA

1. RAISI WA SHIRIKISHO MMOJA ASIYE NA MAKAMU
2. WIZARA 4 TU NAZO NI: -

i. ULINZI,
ii. URAIA NA UHAMIAJI BILA YA JESHI LA POLISI.
iii. FEDHA
iv. MAMBO YA NJE.

MPANGO MZIMA NI: -

1. MAWAZIRI WAWE 4 WASIO NA MANAIBU. WATUMISHI WACHACHE SANA KWA KILA WIZARA WASIZIDI 60 KWA KILA WIZARA NA WAWE NI NUSU KWA NUSU.

2. TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIWE NA SERIKALI KILA UPANDE UNAOSIMAMIWA NA MA RAISI WAO NA WIZARA AMBAZO HAZIKO KWENYE SHIRIKISHO.

3. LAZIMA MCHANGO WA KUENDESHA SERIKALI YA SHIRIKISHO UWE NI NUSU KWA NUSU KWA KILA NCHI MWANACHAMA.

4. TANGANYIKA IKUSANYE KODI KIVYAKE NA ZANZIBAR KIVYAKE NA ZIJIPANGIE MATUMIZI KIVYAKE.

5. BUNGE LA SHIRIKISHO LISIWE NA WABUNGE ZAIDI YA 20 KWA KILA UPANDE WA SHIRIKISHO KUTOA NUSU YA WABUNGE.

6. KILA NCHI IWE NA BANK KUU YAKE INGAWA FEDHA ZETU ZIWE NA SURA 2 TU ZA NYERERE NA KARUME.

7. KILA UPANDE UWE NA POLISI WAKE ILA JESHI LA ULINZI LIWE LA SHIRIKISHO.

MWISHO NI KUONDOA MANUNG'UNIKO YASIYO LAZIMA NA PIA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI SERIKALI YA SHIRIKISHO.

NAWASILISHA KWENU WANA JF KWA UCHAMBUZI ZAIDI NA KUONGEZA MINOFU KATIKA UZI HUU...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom