DED wa Arusha ana mgogoro mkubwa na Dc wa arusha na RC. Anamtuhu RC kuchukua rushwa kwa kampuni moja ya kuweka taa barabarani.pia dc amekashifiwa kuwa anaombaomba posho kila kukicha.Rc ameahidi kumshughulikia ikiwa hataomba radhi