Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

WATANZANIA WALIMUELEWA NA KUMUAMINI SANA JPM NA HUWAAMBII KITU.

AWAMU YA 6 POLENI SANA PAMOJA KWA KUMRUSHIA LAWAMA WATANZANIA BADO WAKO NA JPM.

SAKATA LA UMEME (TANESCO) LIMEIBUA USIKILIZAJI MPYA WA SPEECH ZA JPM

MAGUFULI ANAISHI.

UKWELI MCHUNGU.
Kabisa mkuu, Kuna mitaa flani nilipita nilikutana na baadhi ya watu wakisikiliza speech za JPM kwa wingi
 
Tafadhali viongozi wasitu hukuoie sisi Ni mang'ombe Sasa tuna uelewa wa hali ya juu

Tupo to tunatafuna popcorn na kuangalia hali ya mambo
 
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.
Kwahiyo MALAIKA wenu angekuwepo angeleta mvua Ruvu ijae, ama vipi?
 
Yaani huyu Maza mi nilijua ashamwelewa Magufuli. Mara kaja na kaswida zake .ati ,ati, hawezi fokea watu wazima yeye ni kalamu Tu, hatuoni kalamu wala nini ,majambazi wa CCM kuwaongoza wanahitaji akili ya ziada, Maza anadhani Magu jakujua anachokifanya. Natabiri mpaka 2025 tutapata lowassa mwingine Kwa mwendo huu wa jongoo .
 
tizo la umeme lipo tu
MATAGA wakidai kuwa tatizo la umeme lipo tu wala halina kisababishi wakati hadi Rais wao alishataja sababu za ukame nchini👇😁
c.PNG
 
Kwanini kila tatizo katika nchi hili linawekewa mchuano kati ya marehem Magufuli vs Samia? Enyi magamba nani alie waloga? Kwanza kuna ufisadi ule wa trl moja mmeshasaha ulikua enzi za nani?
 
Hawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Wanajenga bandari ya familia pale Bagamoyo ili wafaidi vizazi na vizazi halafu bandari ya Daaaslam ibaki gofu la kihistoria. Serikali itabaki kuwa mtazamaji tu pale Bagamoyo. Hiii nchi hiiiii
 
Wewe ni mpuuzi fulani na timu yako ya mtandao still January Makamba.

Look at Sabaya for reference wananchi watapakochua nchi.

Ungekuwa na akili timamu ungejikita kusaidia maisha ya Watanzania badala ya kuwashambulia.
Mavi yamejaa kwenye bichwa lako ndio Hilo bovu ndio maana unaharisha hapa.

Wananchi watakapochukua nchi 😂😂,kwa nini wewe usiichukue unawasubilia wananchi gani? Jinga kabisa.

Leta upumbavu na chuki zako zingine ,Tunachapa kazi kama hivi 👇

Screenshot_20211120-164615.png

Screenshot_20211117-132243.png

Screenshot_20211119-101540.png

Screenshot_20211119-100722.png

Screenshot_20211117-213236.png

Screenshot_20211117-134136.png

Screenshot_20211112-093702.png

Screenshot_20211110-085639.png

Screenshot_20211107-201041.png

Screenshot_20211104-201638.png

Screenshot_20211104-201540.png
 
Wanajenga bandari ya familia pale Bagamoyo ili wafaidi vizazi na vizazi halafu bandari ya Daaaslam ibaki gofu la kihistoria. Serikali itabaki kuwa mtazamaji tu pale Bagamoyo. Hiii nchi hiiiii
Na wewe kajenge ya familia yako kwani hutaki kufaidi? 🤔🤔
 
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.

Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.

WaKati Magufuli anaua uwezo wa wananchi kuhoji viongozi, mlikuwa mnashangilia maana mlikuwa na maslahi yenu binafsi. Leo mbegu chafu aliyoiotesha kwa kupandikiza viongozi wasio na uhalali wa umma kufanya watakavyo,mnajifanya ndio mna uchungu na nchi. Sasa hivi viongozi wote ni wa CCM kwa utashi na ulevi wa madaraka wa Magufuli, na hakuna mwenye uwezo wa kuwahoji. Acheni huu uhuni wa utawala uliopandikizwa na Magufuli uumguse kila mtu, ili tukisimama na kusema tunataka katiba mpya itakayoweka mifumo imara na sio viongozi Mungu watu muelewe.
 
Na wewe kajenge ya familia yako kwani hutaki kufaidi? 🤔🤔

Uharo wako ni mkubwa zaidi. Familia ya Tanzania itajengwa mpya, yenye ustaarabu, bila matusi yenu, yenye kuheshimiana, zama zenu zikipita.

Katiba mpya, watu wapya, vijana, jeshi watachukua nchi ikibidi tuache usen,ge wenu wewe na genge lako.

Sasa kazi yako ni kutapika matusi, uharo, pimbi wewe na wase,nge wenzako.

Wangapi wanakukubali TZ pamojs na campaign zako?

Nenda mtaani ukaharishe uharo wako uone reaction.
 
Itachukua miaka mingi mno kufuta vichwani mwa mamilioni ya watanzania elimu aliyotoa JPM...

Milele,kulinganisha na hawa wapiga dili. Kazi bure.

Wangekuwa na akili timamu wangefanya zaidi ta JPM ndani ya miaka 4.

Simple formula.
 
Kwani uongo??wewe na mleta mada anaelialia hapa na mwendazake ni Sukuma gang acheni zenu bana.
SukumaGang ni nini?

Tukisema chaga Gang, Zanzibar Gang, Muslim Gang, Haya Gang , Pwani Gang, Upare Gang, utakuwa na ushabiki kama hu unaoufanya hapa?

Divisive strategy, a bit silly, We nener take you anywhere.
 
Kweli Jiwe lilitufumbua macho.
Mfano lilitamka chanjo hazifai,wamepambana watu wachanjwe mpaka chanjo zime expire.
Hahaha jiwe kweli nimeamini Ni mtu wa tofauti such a tough convincing power mtu yuko kaburini lakin bado anapigana vita na anawaumiza watu vichwa.
 
Back
Top Bottom