Serikali ya Rais Magufuli yapania kwa vitendo kuondoa kero za maji kwa wananchi wake

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau
Serikali ya JPM imedhihirisha kwa vitendo dhamira ya kuondoa kero ya maji kwa wananchi wake.Katika utekekezaji wa nia hiyo Serikali imetenga Tshs 245 Billioni kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji kanda ya ziwa.
Aksanteni.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,413
2,000
Serikali ya Magufuli au serikali ya ccm? Kumbe ndio maana kuwa anafanya maamuzi yake apendayo bila kujali hata bunge kwa vile nyie wenyewe ndio mnasema "serikali ya Magufuli"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom