Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Utajili=Utajiri
Zile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.kwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Nakumbuka kipindi kile kila petrol station mpya ilikuwa ya ridhiwani, kila jengo jipya kubwa ni la ridhiwani! Watu wanaenda na upepoAwamu zijazo zitaruhusu tu hakuna shida,mali za wapigaji wote zitataifishwa tu wananchi watunze tu vielelezo.Wanaishi nyumba za vioo hao hakuna shida
ahahaha mkuu mimi mwenyewe ninayo moja usiseme nayo niyakeZile Eicher za Gongo la Mboto/ Masaki asilimia 90 ni za kwake.
Wakikutajia uni tag Mkuu Chifyono.kwani makonda anautajiri gani?
mtutajie hapa vitu anavyomiliki kwanza
Mafisadi wa awamu hii ndo watakaolimia meno awamu ijayo.Masha akiwa waziri wa ulinzi aliwapelekesha Sana polisi akuangalia kesho yake alipojiunga chadema polisi walikuwa wakimlaza ndani na kumpelekesha.Hata kangi akija kuwa nje mapoti watampelekesha Sana hasa matrafik.Ukitaka kusimama vyema tazama kesho yako.Bashtu atapata tabu sana mbuyu ukiondokaNakumbuka kipindi kile kila petrol station mpya ilikuwa ya ridhiwani, kila jengo jipya kubwa ni la ridhiwani! Watu wanaenda na upepo
Hahahaha, kwamba kaburi litafukuliwa?Awamu zijazo zitaruhusu tu hakuna shida,mali za wapigaji wote zitataifishwa tu wananchi watunze tu vielelezo.Wanaishi nyumba za vioo hao hakuna shida
Wako nyumba za vioo wameumiza wengine Sana siasa ni upepo wataingia wasio upande wao watatamani ardhi ifunguke.Hahahaha, kwamba kaburi litafukuliwa?
We unafikiri kwann CAG ametolewa Serikali ya jiwe imejaaa ubabaishaj mtupu. Tofaut na serkali zingne ni kwamba anataka kupiga mwenyew na wafuas wake.Mtu muadilifu hawez kuogopa kukaguliwa.
Unaonaje ukiacha kulalamika na ukaenda mahakamani? Huwezi kuja na allegations nzito kiasi hiki alafu ukawa unalalamika tu l! Utakua huutendei haki uwepo wako hapa duniani.Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.