Serikali ya Obama Kuzianika Picha Nyingine za Mateso ya Wafungwa wa Irak

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Baada ya kuziweka hadharani memo zilizokuwa zikielekeza mateso kwa watuhumiwa wa ugaidi waliokuwa wakishikiliwa na Serikali ya Marekani iliyokuwa ikiongozwa na Rais Bush, Serikali ya Rais Obama imeeleza nia ya kuziweka hadharani (kati ya sasa na mwezi Mei 2009) picha nyingine zaidi za mateso ya watuhumiwa na wafungwa wa ugaidi katika Jela ya Abugraib ambazo hazikuonyeshwa awali. Habari hizi ni kwa mujibu wa CNN leo asubuhi
 
Back
Top Bottom