Serikali ya Muungano Kenya yaua Upinzani, Je Tanzania pia kuwa hivyo?

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,285
24,155
Prof. P.L.O Lumumba achambua serikali za Muungano katika Afrika inayolingana na CCM kuunda CCM-B, CCM-A n.k:
  • Serikali za Muungano wa vyama zinavyoua upinzani Afrika
  • Serikali ya Muungano ni kama ndoa ya wasiopendana
  • Nyani ni walewale tu wanabadilisha misitu tu
  • Wezi na mafisadi wanaenziwa na serikali
  • Uongozi ni fursa ya kujilimbikiza mali kujitayarisha kwa chaguzi
  • Mafisadi wanajua majopo/tume yataundwa lakini watapona kukamatwa
  • Kwa nini bei za mafuta, chakula zinapanda serikali haijali
  • Kwanini serikali zinajaribu kubumbaza wananchi kwa udini/ukabila
  • Hakuna marefu yaso-ncha, watu washagutuka
  • Taasisi zisizo za kiserikali zinafanya kazi nzuri kuelimisha umma
  • Kelele hizi wa wapinzani kama CHADEMA ni mwanzo wa ukombozi
  • Mtunzi Shaaban Robert simulizi za nchi ya Kusadikika a.k.a wajinga n.k
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom