Serikali ya mtaa Tandale yawaaweka ndani wajasiriamali na wakazi waliochelewesha tozo ya ulinzi shirikishi

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,134
3,568
Serikali ya mtaa Tandale yawaweka ndani/lock up wafanyabiaahara wadogo/wajasiria mali kwa kuchelewesha tozo ya ulinzi ya miezi miwili ambapo kwa mwezi ni sh 2,000/=.

Kwanini serikali ya awamu hii inatumia nguvu kubwa kuliko hali halisi ?
Hivi mpaka mtu anashindwa kulipa elfu mbili unamsweka ndani Kituo cha police Tandale alafu umdai faini ya elfu hamsini huoni kama ni kuwaonea masikini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20200420_142136.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom