Serikali Ya Marekani Ilimzuia Kuingia Marekani Kwa Kua anakatiza uhai wa watu wengine, Je mnasubiri nini Kumkamata?

Right mngejua mnaandaliwa kwenda kulizwa muda si mrefu ni vyema mngeanza kuaanda vitambaa vya kujifutia machozi kuliko kupoteza muda mkimwandama Makonda. Ni hayo tu. Ni Bora mtulie tu maana hamjui kuzisoma alama za Nyakati.
Hata kwa Magufuli mlisema hivyo hivyo kuwa atatawala milele ila kwasasa Yuko mbinguni
 
Inawezekana sababu kubwa ya kutokamatwa ni ile tafasri itokanayo na Picha aliyopiga na Mama ambayo kuna kipindi ili trend sana
Mkuu nitumie hiyo picha inbobo,kama unayo, ili na mimi nifanye tathmini kama kweli inaweza kumpa kinga Bashite asiingie kwenye mkono wa sheria.
 
Tunataka haki na uchunguzi ufanyike haiwezekani serikali ya marekani imjue anakatisha uhai wa watu wengine halafu serikali yetu bado iendelee kumkumbatia hapana afikishwe kwenye vyombo vya sheria akajibu maana haina maana awe uraiani anakula bata ilihali amekatisha uhai binadamu wengine.
Inaonekana unawaamini sana wamarekani? Hujui unachokisema
 
Right mngejua mnaandaliwa kwenda kulizwa muda si mrefu ni vyema mngeanza kuaanda vitambaa vya kujifutia machozi kuliko kupoteza muda mkimwandama Makonda. Ni hayo tu. Ni Bora mtulie tu maana hamjui kuzisoma alama za Nyakati.

We nawe kenge tu

Kipi haikieleweki

1. Wamarekani waulizwe wathibitishe

2. Kwani hizo picha za CCTV ni fake?

Mjinga mkubwa wewe.
 
ROMA Mkatoliki jitokeze uwataje waliokuteka hawana tishio tena,Mwakyembe aliyekaa nawe beneti kuzuia usiongee si kitu si lolote ni raia kama wengine tu
 
Jitokezeni zaidi na zaidi wakizidi kelele zikiwa nyingi sana watamwita maana yule aliyesema kachape kazi hayupo teena.
 
Ni wakati sasa Roma mkatoliki awataje live waliomteka hawana Kinga sasa baada ya mungu wao kufa
 
Right mngejua mnaandaliwa kwenda kulizwa muda si mrefu ni vyema mngeanza kuaanda vitambaa vya kujifutia machozi kuliko kupoteza muda mkimwandama Makonda. Ni hayo tu. Ni Bora mtulie tu maana hamjui kuzisoma alama za Nyakati.
We kiazi umetumwa na Nani..mbona Kila mda unaelezea Jambo hilohilo
 
Hizi ni mbio za sakafuni tu.....mwache akimbie atuachie mkewe na mali zake za wizi alizokuwa anapora watu.
 
Mkuu ushahidi uko wazi kwa nini yeye awe bado yuko nje serikali ya marekani yenye vyanzo vingi vya habari na taarifa vinasema aliua watu maana kukatiza uhai ni kuua watu sasa kipi kinamfanya atambe mtaani wakati wapo watu aliowaumiza kwa kua na dhamana?
Ni suala la muda tu huyo
 
Katika maisha kuwa na BUSURA na HEKEMA katika maisha yako ni jambo kubwa sn ni kama unayo NAVIGATION inayo kupeleka sehemu ambayo huijui. Imagine mtu kama SABAYA miezi saba iliyo pita alikuwa ni MTU gani? na leo hii yupo LUPANGO miaka 30 mimi naona kama kifungo cha maisha tu hakina tofauti.
 
Kwa hizi kampeni zinazoendelea dhidi yake jamaa anapumua kweli..?
Sasa mmemkalia kooni,naona sabaya kawa wa mfano sasa kila mmoja anaangiliwa huyu nae atendwe kama huyu..
Jamaa huko alipo atakuwa anataman mitandao ya kijamii ifungwe
 
Back
Top Bottom