tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Serikali ya Magufuli inaotesha na kutunza Majipu, nayo ni:
1. Muhongo (Waziri wa nishati na madini) - kashfa ya Escrow.
2. Chenge (Mwenyekiti wa Bunge) - kashfa ya Escrow na rada.
3. Kitwanga - Lugumi scandal.
4. Magufuli mwenyewe - Meli Chakavu, kuuza nyumba za serikali na kupuuza Sheria, kanuni, taratibu za Utumishi wa umma na Haki za binadamu. Kujipa Mamlaka ya Bunge kubadili badili matumizi ya Fedha za umma bila kushirikisha Bunge.
Je huku ni kutumbua Majipu au kuyatunza?