Serikali ya Magufuli imebuni adhabu mpya kwa mafisadi

Mmexico

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
369
328
Vitendo vya kifisadi vimechangia kwa kiasi kibubwa kuharibu taswira ya hii nchi na kuirudisha nyuma kimaendeleo. Vimeichafua hii nchi kuliko hata kina Lissu inasemekana wanaichafua. Uzalendo namba moja kwa Mwananchi wa Tanzania ni kuchukia ufisadi na mafisadi.

Dokta Slaa enzi hizo CHADEMA wakiwa CHADEMA aliwahi kusema, ''Tatizo kubwa kuliko yote nchi hii sio CCM, wala Sio Elimu, wala Sio Magonjwa. Tatizo kubwa na linayoimaliza Tanzania ni Ufisadi na ndio maana wao wamejipanga kupambana nao mpaka pumzi ya mwisho"

Limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa Wezi wa mali za umma nchi hii, kufunguliwa kesi na kutoka kilahisi kabisa tena kwa jeuli zote. Kesi zao wakiwa nje huunguruma lakini siku ya hukumu jambo moja huwa linajulikana ni kuwa watatoka nje na kuwa huru.

Matajiri wengi waliopata mali kwa wizi hutumia:

I.MIANYA YA SHERIA ZETU MBOVU (walizotunga wenyewe) Eg Kina Chenge jeur yao ipo hapa.
II. Nguvu ya fedha zao kutoa RUSHWA kwa Majaji na maofisa wa serikali kuharibu upelelezi na hata mlolongo wa Kesi nzima. Refer kesi ya Iddi Simbaa au ile Madabida na ARV feki.
III. Silaha yao nyingine huwa ni KUPATA MAWAIKILI BINAFSI WENYE UWEZO WA JUU KUWATETEA. Refer Kesi ya Mohamed Kirua na Lukuvi juzi juzi.
IV.Kesi zao kuwa na mkono wa RAIS ambaye ana kinga ya kutoshtakiwa Eg Mramba kesi na hata Jeuri ya EL kusema kama yye fisadi kwenye Richmond basi afunguliwe kesi mahakamani akijua fika walishirikiana na rafiki yake JK.

KWA KUONA HILO MAGUFULI na serikali yake wamekuja kivingine, Wao ni mwendo wa kukufungulia kesi nyingi nyingi ikiwamo ya uhujumu uchumi wakijua fika huwezi kupata dhamana. Then jarada la kesi yako litazungushwa kwa miaka kadhaa na mwisho wa siku utafutiwa Kesi yako/zenu na kuachiliwa huru.

Siku chache mbele utafunguliwa mashtaka mapya na cycle ya usumbufu huku wewe ukiwa ndani unaendelea mpaka ipite miaka kadhaa.
Kwa mbinu hizo Mafisadi na hela zao zote wanajikuta wapo ndani, mbinu zao zote wanazotegemea kuwachomoa zinaishia huko na zinakuwa hazifanyi kazi. Option itakayobaki ni either kurudisha mali ya umma kwa namna flani au uende na maji.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, Sheria zimeundwa kuwafunga maskini, lakini zama hizi tunaona mengine kabisa.
 
Mbona FISADI PAPA la TRILION 2.4 halikamatwi.

FISADI PAPA LA KIVUKO KIBOVU HALIKAMATWI.

UAJI HALIKAMATWI.

JOKA LINALOTIA HASARA NCHI HII KILA SIKU, HALIKAMATWI.

- HASARA YA BOMBARDIER KUKAMATWA UMELETA WEWE, UKIAMBIWA UNAPIGA WATU RISASI, ACACIA WAMESHTAKI HASARA NYINGINE TUTALIPA HIYO.
 
Vitendo vya kifisadi vimechangia kwa kiasi kibubwa kuharibu taswira ya hii nchi na kuirudisha nyuma kimaendeleo. Vimeichafua hii nchi kuliko hata kina Lissu inasemekana wanaichafua. Uzalendo namba moja kwa Mwananchi wa Tanzania ni kuchukia ufisadi na mafisadi.
Dokta Slaa enzi hizo CHADEMA wakiwa CHADEMA aliwahi kusema, ''Tatizo kubwa kuliko yote nchi hii sio CCM, wala Sio Elimu, wala Sio Magonjwa. Tatizo kubwa na linayoimaliza Tanzania ni Ufisadi na ndio maana wao wamejipanga kupambana nao mpaka pumzi ya mwisho"

Limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa Wezi wa mali za umma nchi hii, kufunguliwa kesi na kutoka kilahisi kabisa tena kwa jeuli zote. Kesi zao wakiwa nje huunguruma lakini siku ya hukumu jambo moja huwa linajulikana ni kuwa watatoka nje na kuwa huru.

Matajiri wengi waliopata mali kwa wizi hutumia:
I.MIANYA YA SHERIA ZETU MBOVU (walizotunga wenyewe) Eg Kina Chenge jeur yao ipo hapa.
II. Nguvu ya fedha zao kutoa RUSHWA kwa Majaji na maofisa wa serikali kuharibu upelelezi na hata mlolongo wa Kesi nzima. Refer kesi ya Iddi Simbaa au ile Madabida na ARV feki.
III. Silaha yao nyingine huwa ni KUPATA MAWAIKILI BINAFSI WENYE UWEZO WA JUU KUWATETEA. Refer Kesi ya Mohamed Kirua na Lukuvi juzi juzi.
IV.Kesi zao kuwa na mkono wa RAIS ambaye ana kinga ya kutoshtakiwa Eg Mramba kesi na hata Jeuri ya EL kusema kama yye fisadi kwenye Richmond basi afunguliwe kesi mahakamani akijua fika walishirikiana na rafiki yake JK.

KWA KUONA HILO MAGUFULI na serikali yake wamekuja kivingine, Wao ni mwendo wa kukufungulia kesi nyingi nyingi ikiwamo ya uhujumu uchumi wakijua fika huwezi kupata dhamana. Then jarada la kesi yako litazungushwa kwa miaka kadhaa na mwisho wa siku utafutiwa Kesi yako/zenu na kuachiliwa huru.
Siku chache mbele utafunguliwa mashtaka mapya na cycle ya usumbufu huku wewe ukiwa ndani unaendelea mpaka ipite miaka kadhaa.
Kwa mbinu hizo Mafisadi na hela zao zote wanajikuta wapo ndani, mbinu zao zote wanazotegemea kuwachomoa zinaishia huko na zinakuwa hazifanyi kazi. Option itakayobaki ni either kurudisha mali ya umma kwa namna flani au uende na maji.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, Sheria zimeundwa kuwafunga maskini, lakini zama hizi tunaona mengine kabisa.
Wahenga walisema nyani haoni kundule....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani lowasa ashasomewa mashtaka?
Tangu 2006 tuliaminishwa ni fisadi.......mbona yupo kwenye tuu...na ikulu anakaribishwa?
 
Mwaka 2020 the Hague haimkosi na yeye atasulubiwa tuu.
Miradi mingi imetamkwa majukwaani bila tenda
Watu waliopotea wengine kufa
Kupora Mali eg Channel 10,Mashamba ya watu
 
Jamani lowasa ashasomewa mashtaka?
Tangu 2006 tuliaminishwa ni fisadi.......mbona yupo kwenye tuu...na ikulu anakaribishwa?
Nimesema anatembelea jeuri ya kuwa katika ufisadi wake, kulikuwa na mkono wa JK ambae ana kinga ya mashtaka. Kwenye Richmond JK na yeye walishirikaiana so kumpeleka EL mahakamani ni kumpeleka JK.
Smart Brain
 
Serikali hii haijawahi kutunga sheria yenye maslahi kwa taifa. Mimi naamini adui no. 1 katika taifa hili nu ccm
Vitendo vya kifisadi vimechangia kwa kiasi kibubwa kuharibu taswira ya hii nchi na kuirudisha nyuma kimaendeleo. Vimeichafua hii nchi kuliko hata kina Lissu inasemekana wanaichafua. Uzalendo namba moja kwa Mwananchi wa Tanzania ni kuchukia ufisadi na mafisadi.

Dokta Slaa enzi hizo CHADEMA wakiwa CHADEMA aliwahi kusema, ''Tatizo kubwa kuliko yote nchi hii sio CCM, wala Sio Elimu, wala Sio Magonjwa. Tatizo kubwa na linayoimaliza Tanzania ni Ufisadi na ndio maana wao wamejipanga kupambana nao mpaka pumzi ya mwisho"

Limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa Wezi wa mali za umma nchi hii, kufunguliwa kesi na kutoka kilahisi kabisa tena kwa jeuli zote. Kesi zao wakiwa nje huunguruma lakini siku ya hukumu jambo moja huwa linajulikana ni kuwa watatoka nje na kuwa huru.

Matajiri wengi waliopata mali kwa wizi hutumia:

I.MIANYA YA SHERIA ZETU MBOVU (walizotunga wenyewe) Eg Kina Chenge jeur yao ipo hapa.
II. Nguvu ya fedha zao kutoa RUSHWA kwa Majaji na maofisa wa serikali kuharibu upelelezi na hata mlolongo wa Kesi nzima. Refer kesi ya Iddi Simbaa au ile Madabida na ARV feki.
III. Silaha yao nyingine huwa ni KUPATA MAWAIKILI BINAFSI WENYE UWEZO WA JUU KUWATETEA. Refer Kesi ya Mohamed Kirua na Lukuvi juzi juzi.
IV.Kesi zao kuwa na mkono wa RAIS ambaye ana kinga ya kutoshtakiwa Eg Mramba kesi na hata Jeuri ya EL kusema kama yye fisadi kwenye Richmond basi afunguliwe kesi mahakamani akijua fika walishirikiana na rafiki yake JK.

KWA KUONA HILO MAGUFULI na serikali yake wamekuja kivingine, Wao ni mwendo wa kukufungulia kesi nyingi nyingi ikiwamo ya uhujumu uchumi wakijua fika huwezi kupata dhamana. Then jarada la kesi yako litazungushwa kwa miaka kadhaa na mwisho wa siku utafutiwa Kesi yako/zenu na kuachiliwa huru.

Siku chache mbele utafunguliwa mashtaka mapya na cycle ya usumbufu huku wewe ukiwa ndani unaendelea mpaka ipite miaka kadhaa.
Kwa mbinu hizo Mafisadi na hela zao zote wanajikuta wapo ndani, mbinu zao zote wanazotegemea kuwachomoa zinaishia huko na zinakuwa hazifanyi kazi. Option itakayobaki ni either kurudisha mali ya umma kwa namna flani au uende na maji.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, Sheria zimeundwa kuwafunga maskini, lakini zama hizi tunaona mengine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atunge sheria,zitakazoipa mahakama uhuru kamili kutaifisha mali zao.utaratibu huo hauna heshima mbele ya utawala bora auutawala wa kisheria.hakuna weledi hapo mwishoe watakuwa uhuru na mabilioni yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unaunga mkono sheria onevu ya uhujumu uchumi? Hii ni sheria ya ovyo kabisa inatumika kuwaonea watu, ni sheria inayotoa hukumu ya kufunga mtu kabla hajahukumiwa. Mbele ya sheria this is not a just law.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema anatembelea jeuri ya kuwa katika ufisadi wake, kulikuwa na mkono wa JK ambae ana kinga ya mashtaka. Kwenye Richmond JK na yeye walishirikaiana so kumpeleka EL mahakamani ni kumpeleka JK.
Smart Brain

Rais akitoka madarakani kinga inaisha....kama magu kadhamiria apeleke tuu
 
Awamu hii ukishitakiwa ni bora uzitapike pesa na mali tu kama walivyofanyaafisadi wa NCU
 
Vitendo vya kifisadi vimechangia kwa kiasi kibubwa kuharibu taswira ya hii nchi na kuirudisha nyuma kimaendeleo. Vimeichafua hii nchi kuliko hata kina Lissu inasemekana wanaichafua. Uzalendo namba moja kwa Mwananchi wa Tanzania ni kuchukia ufisadi na mafisadi.

Dokta Slaa enzi hizo CHADEMA wakiwa CHADEMA aliwahi kusema, ''Tatizo kubwa kuliko yote nchi hii sio CCM, wala Sio Elimu, wala Sio Magonjwa. Tatizo kubwa na linayoimaliza Tanzania ni Ufisadi na ndio maana wao wamejipanga kupambana nao mpaka pumzi ya mwisho"

Limekuwa ni jambo la kawaida sana kwa Wezi wa mali za umma nchi hii, kufunguliwa kesi na kutoka kilahisi kabisa tena kwa jeuli zote. Kesi zao wakiwa nje huunguruma lakini siku ya hukumu jambo moja huwa linajulikana ni kuwa watatoka nje na kuwa huru.

Matajiri wengi waliopata mali kwa wizi hutumia:

I.MIANYA YA SHERIA ZETU MBOVU (walizotunga wenyewe) Eg Kina Chenge jeur yao ipo hapa.
II. Nguvu ya fedha zao kutoa RUSHWA kwa Majaji na maofisa wa serikali kuharibu upelelezi na hata mlolongo wa Kesi nzima. Refer kesi ya Iddi Simbaa au ile Madabida na ARV feki.
III. Silaha yao nyingine huwa ni KUPATA MAWAIKILI BINAFSI WENYE UWEZO WA JUU KUWATETEA. Refer Kesi ya Mohamed Kirua na Lukuvi juzi juzi.
IV.Kesi zao kuwa na mkono wa RAIS ambaye ana kinga ya kutoshtakiwa Eg Mramba kesi na hata Jeuri ya EL kusema kama yye fisadi kwenye Richmond basi afunguliwe kesi mahakamani akijua fika walishirikiana na rafiki yake JK.

KWA KUONA HILO MAGUFULI na serikali yake wamekuja kivingine, Wao ni mwendo wa kukufungulia kesi nyingi nyingi ikiwamo ya uhujumu uchumi wakijua fika huwezi kupata dhamana. Then jarada la kesi yako litazungushwa kwa miaka kadhaa na mwisho wa siku utafutiwa Kesi yako/zenu na kuachiliwa huru.

Siku chache mbele utafunguliwa mashtaka mapya na cycle ya usumbufu huku wewe ukiwa ndani unaendelea mpaka ipite miaka kadhaa.
Kwa mbinu hizo Mafisadi na hela zao zote wanajikuta wapo ndani, mbinu zao zote wanazotegemea kuwachomoa zinaishia huko na zinakuwa hazifanyi kazi. Option itakayobaki ni either kurudisha mali ya umma kwa namna flani au uende na maji.
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema, Sheria zimeundwa kuwafunga maskini, lakini zama hizi tunaona mengine kabisa.
Sheria inatakiwa iwe msumeno, mbona mtemi chenge baba wa ufisadi yupo anatamba, mbono huyo aliyepoteza 2.4 tln hatajwi na haguswi? Wajinga ndio mtakaondelea kudanganywa, hao walio mahabusu ni chuki binafsi za jiwe
 
Kwa hiyo unaunga mkono sheria onevu ya uhujumu uchumi? Hii ni sheria ya ovyo kabisa inatumika kuwaonea watu, ni sheria inayotoa hukumu ya kufunga mtu kabla hajahukumiwa. Mbele ya sheria this is not a just law.

Sent using Jamii Forums mobile app
Somehow naunga mkono, Kwa nchi za aina ya Tanzania Mimi ni muumini wa Udikteta wa kimaendeleo. Demokrasia ya ukweli inawafaa watu walio endelea na kuelimika vyema.
Naona tungepitia kwenye chujio la dikteta hata kwa miaka mitano tu, tungenyooka vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom