JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,494
- 7,517
Mjinga ni wewe "dona kantri" huku kila kukicha unatembeza bakuli.Tabia ya ujinga haijifichi.
Mjinga ni wewe "dona kantri" huku kila kukicha unatembeza bakuli.Tabia ya ujinga haijifichi.
Upotoshaji wa kitoto usio na kichwa wala miguu. Kama mkopo wa Usd 1.5 bil kwa ajili ya Sgr uliandikwa na magazeti karibu yote hapa Tanzania. Siasa za kitoto wapinzani wa Tanzania kutafuta kiki za kisiasa.2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Mtahangaika sana kwa upotoshaji wa kijinga lakini Ccm inazidi kujanja mbuga.2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Mtapata aibu sana maana mnatengeneza uongo wa kijinga. Lakini Ccm inazidi kupiga kazi tu.2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Mtahangaika sana kutengeneza uongo ili kuichafua Tanzania. Lakini Ccm inazidi kupiga kazi tu.Wala hakuna mkopo wa kujificha.2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Umeshawaumbua wapuuzi wasioitakia mema Tanzania.Mbona hii mikopo ilisainiwa in Public...hicho kificho kimeanza lini?View attachment 1457005
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haijakopa kwa siri. Na treni zikianza safari watanzania wote watanufaika.Serikali ambayo inakopa kwa Siri na mzigo wa kulipa inawatupia watu wake, ni serikali dhalimu.
Oo tupo vitani mara ooh mabeberu.
Tunalipa 700bn kila mwezi kwanini tukope tena?
Alafu mbna hatuna miradi yakuchukua pesa yote iyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
tunaposema hatua bunge,tunamaanishaTrillion 6..... Seriously? Tena kwa siri.. Halafu kimyakimya... Sasa nimejua nini maana ya kutembea kifUa mbele
Jr
Kweli kabisa mkuu,mtu ukimuuliza makubwa gani yamefanywa na mfalme,utasikia SGR,sijui barabara,sijui upuuzi gani, sasa unajiuliza katika awamu zote zilizopita vitu hivi vilikuwa havijengwi?,Ni upambavu wa high rankTanzania Kuna mtaji mkubwa wa Ujinga, na mbaya Zaid kaminya press mfano hii habari kwa ordinary kuijua ni ngumu kwa sababu kamwe haiwez tanganzwa na vyombo vya habari vya Tanzania
Kwa nchi makini kashifa kama hii unapigwa chini mapema. Sema vile bunge la Ndungai linapigwa mpini na Jiwe.Hip ndio pesa ambayo Mbatia anazunguka Nayo nchini* waweke wazi matumizi
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? Wewe unataka Nini?2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
WB na IMF wanafanyia kazi taarifa za magazetini!? Mbona hamtumii hata akili ya kawaida ya ubinadamu!? Au ninyi ni viumbe tofauti na binadamu!!?Upotoshaji wa kitoto usio na kichwa wala miguu. Kama mkopo wa Usd 1.5 bil kwa ajili ya Sgr uliandikwa na magazeti karibu yote hapa Tanzania. Siasa za kitoto wapinzani wa Tanzania kutafuta kiki za kisiasa.
Hii ndo Serikali ya Mzee wa Kujifukiza, ujinga anaufanya mwenyewe halaf baadaye akikutwa Uchi anakenua meno kudai eti nchi iko kwenye Vita😀2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Akili zako ni finyu sana, sioni hata haja mtu yeyote kujitokeza kukupa ufafanuziKwa hiyo hoja yako ni ipi? Wewe unataka Nini?
Hahah daah duniani kooote it is only in Tz(awamu ya 5) ambapo definition ya NTERNAL REVENUES iko kivyake vyake.Hivi ulipokwenda shule ulisoma nini kama sio ujinga? Yaani hata wewe mfano mdogo tu ukikopa pesa kwa shughuli yoyote ile ina maana hizo sio pesa zako? To put it simply when you use your credit card who pays the issuer of the card with interest? Grow up to your age. Tofautisha na misaada. Taja pesa za bure ambazo Tanzania imepata? Weka ushahidi?
Hahah daah duniani kooote it is only in Tz(awamu ya 5) ambapo definition ya NTERNAL REVENUES iko kivyake vyake.
Oo tupo vitani mara ooh mabeberu.
Tunalipa 700bn kila mwezi kwanini tukope tena?
Alafu mbna hatuna miradi yakuchukua pesa yote iyo?
Sent using Jamii Forums mobile app