Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,332
2,000
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914 View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Upotoshaji wa kitoto usio na kichwa wala miguu. Kama mkopo wa Usd 1.5 bil kwa ajili ya Sgr uliandikwa na magazeti karibu yote hapa Tanzania. Siasa za kitoto wapinzani wa Tanzania kutafuta kiki za kisiasa.
 
Mtahangaika sana kwa upotoshaji wa kijinga lakini Ccm inazidi kujanja mbuga.
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914 View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Mtapata aibu sana maana mnatengeneza uongo wa kijinga. Lakini Ccm inazidi kupiga kazi tu.
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914 View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Mtahangaika sana kutengeneza uongo ili kuichafua Tanzania. Lakini Ccm inazidi kupiga kazi tu.Wala hakuna mkopo wa kujificha.
Screenshot_20200523-142159.png
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
3,545
2,000
Tanzania Kuna mtaji mkubwa wa Ujinga, na mbaya Zaid kaminya press mfano hii habari kwa ordinary kuijua ni ngumu kwa sababu kamwe haiwez tanganzwa na vyombo vya habari vya Tanzania
Kweli kabisa mkuu,mtu ukimuuliza makubwa gani yamefanywa na mfalme,utasikia SGR,sijui barabara,sijui upuuzi gani, sasa unajiuliza katika awamu zote zilizopita vitu hivi vilikuwa havijengwi?,Ni upambavu wa high rank
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,007
2,000
By the time awamu ya tano inaondoka madarakani nchi itakuwa imebakiza mito ba bahari
It's sickening kusikia haya
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
7,527
2,000
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914 View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? Wewe unataka Nini?
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,192
2,000
Upotoshaji wa kitoto usio na kichwa wala miguu. Kama mkopo wa Usd 1.5 bil kwa ajili ya Sgr uliandikwa na magazeti karibu yote hapa Tanzania. Siasa za kitoto wapinzani wa Tanzania kutafuta kiki za kisiasa.
WB na IMF wanafanyia kazi taarifa za magazetini!? Mbona hamtumii hata akili ya kawaida ya ubinadamu!? Au ninyi ni viumbe tofauti na binadamu!!?
Kwa kweli nampongeza Mh. JPM kwa kupiga marufuku mbioza mwenge,naamini tutapunguza sana kupata vizazi vya mwenge kama wewe.
 
Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
1,279
2,000
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914 View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Hii ndo Serikali ya Mzee wa Kujifukiza, ujinga anaufanya mwenyewe halaf baadaye akikutwa Uchi anakenua meno kudai eti nchi iko kwenye Vita😀
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,687
2,000
Hivi ulipokwenda shule ulisoma nini kama sio ujinga? Yaani hata wewe mfano mdogo tu ukikopa pesa kwa shughuli yoyote ile ina maana hizo sio pesa zako? To put it simply when you use your credit card who pays the issuer of the card with interest? Grow up to your age. Tofautisha na misaada. Taja pesa za bure ambazo Tanzania imepata? Weka ushahidi?
Hahah daah duniani kooote it is only in Tz(awamu ya 5) ambapo definition ya NTERNAL REVENUES iko kivyake vyake.
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,674
2,000
Hahah daah duniani kooote it is only in Tz(awamu ya 5) ambapo definition ya NTERNAL REVENUES iko kivyake vyake.
Hapo juu sifahamu una maana gani. Kila nchi ina kopa na wanajenga nchi yao. Hakuna nchi ambayo inasema tumejenga kwa pesa ya kukopa au nchi inayosema tumejenga kwa pesa za kukopa. Wewe binafsi unapotumia pesa za kukopa huwa unalipa kwa miaka kadhaa huwa husemi hizi pesa ninazotumia sio zangu. Akili za kikasuku.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,865
2,000
Oo tupo vitani mara ooh mabeberu.

Tunalipa 700bn kila mwezi kwanini tukope tena?

Alafu mbna hatuna miradi yakuchukua pesa yote iyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashangaa wafuasi wa CHADEMA humu JF, hasa wewe heradius12 na kundi lako (mnajijua, kushupalia Serikali kukopa wakati mnatambua, kwa kusikia na kuona, miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Je, CHAMA chenu kiko safi? Viongozi wenu wanapogama na kusema ukweli mnawakashifu kwa kila lugha.

Leo Lijuakali, Mbunge wao aliyejiengua amakivua nguo CHADEMA kikabaki uchi. Kama madai aliyoyasema hamtayatolea majibu ya kuridhisha, hakika viongozi wenu watakuwa na wakati mgumu kwenye kampeni.

Hongera Mh Lujuakali kuanika uovu wa CHADEMA mapema maana ulitahadharishwa kuweka akiba ya maneno, hivyo hata wakikupoteza kama walivyowapoteza watu wao wakaisingizia Serikali, umekwisha yaanika madudu yao km Uwongo na Ufisadi wa kiwango cha kutisha. Msikilizeni Lijuakali.

Top Bottom