Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,674
2,000
Kwa awamu hii hizo zinakua pesa zako na zinaitwa ni Fedha za ndani,hahah.
Hivi ulipokwenda shule ulisoma nini kama sio ujinga? Yaani hata wewe mfano mdogo tu ukikopa pesa kwa shughuli yoyote ile ina maana hizo sio pesa zako? To put it simply when you use your credit card who pays the issuer of the card with interest? Grow up to your age. Tofautisha na misaada. Taja pesa za bure ambazo Tanzania imepata? Weka ushahidi?
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,674
2,000
Wakati mwingine unaweza kusoma vitu halafu ukajikuta unanyofoa nywele... sasa hapa gumu au jipya ni lipi? Mbona tunataka kutengeneza kashfa mahali pasipo na kashfa. Nimerudia kusoma kuona serikali ilipoomba radhi kwa kukopa au kutokutoa taarifa sijapaona. Na navaa miwani inawezekana macho yangu uzee umezidi...
Zito na wafuasi wake wanahaha usiku na mchana maana October ndio inakaribia wakati anafahamu kabisa hawezi kurudi kuwa Mbunge, come rain come sunshine.
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,449
2,000
Hicho kichwa cha habari ni cha kweli, au ni wewe tu unayetaka kupitisha hoja yako? Kauli kwamba Serikali ilitaka 'iwe siri' ndiyo nina wasiwasi nayo! Serikali inatumia mabilioni mangapi kununulia madawa nchini kwa mwaka? Mishahara ya watumishi wa umma ni kiasi gani kwa mwezi? Vikao vya Bunge kwa mwaka hugharimu kiasi gani? Pamoja na kwamba huwezi kunipa majibu kwa maswali kama hayo, huwezi kusema Serikali inayafanya 'siri'. Siyo kila kitu Serikali ikifanyacho lazima kitangazwe. Habari itakuwa siri pale tu mtu anayehusika akifuatilia kwa njia halali na kunyimwa taarifa hiyo hapo ndipo utasema kuna siri. Huwezi wewe mtu baki tu, kwa mfano, uulizie kwenye vyombo vya habari matumizi ya Jeshi na utegemee kuarifiwa.
Seeikali ilifanya siri kwa sababu haijawahi kusema mahala popote kwenye vitabu vyake kua kua hela imekopa kiasi flani.

Kbuka kwenye bunge la bajeti serikali hutamka na kuweka wazi kwa wabunge kiasi cha mikopo inachotarajia kukopa na kiwango cha deni kilichopo. Hii inawafanya hata wabunge kua well informed kuishauri na kuisimamia serikali.

Serikali yetu haijawahi kutaja popote kwenye vitabu vyake vya wazi hili deni. Hili deni sio nyarwka za siri za serikali au mali ya usalama wa taifa ifanywe siri.

Kuna vitu ni siri ila madeni ya mapato ya serikali sio siri. Kufanya madeni siri ni kwaba serikali iinataka kusema hatudaiwi wakati in reality tunadaiwa. Hii nchi ni ya wananchi na wanaolipa ni wananchi sio serikali. Inawafichaje walipaji? Mnataka tuje kushtuka wadeni wanatupiga mnada bila kujua kumbe walikua wanatudai?

Hayo maswali mengine uliyouliza hayana mantiki yoyote na wala hayana maana.
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,674
2,000
Kwa hiyo WB ulitaka wagoogle nao ili wajue Tanzania anamadeni gani!??
Hivi wenzetu ninyi ni binadamu kama sisi au ni viumbe vingine!?
Kwa ujinga ulionao unafikiri madeni ya Serikali hayajulikani. Hata wewe tu madeni yako yote yanajulikana kama upo kwenye system ya kuwa na Bank account itakuwa kwa nchi? Ni wapumbavu tu wachache ambao watamezeshwa ujinga na kina Zito. Bado tupo macho. Ndio sababu nchi zote ulimwenguni wanakuwa kwenye ranking ya Moody's etc.
 
naka123

Member
Mar 27, 2018
75
125
Ila utafanyaje kama una very unproductive economy na watendaji vichwa maji..
Mr President achana na PHDs ..find good guys from private sector plus commercializing some of the government services.....
Tutaendelea kuomba hadi lini
...Comrade PHd's ndio criteria kubwa kwa awamu hii ila ime prove kuwa aina hii sio wapambanaji wakupeleka front line wabakie kuwa think tank not doers...waoga waoga nidhamu ya uoga nyingi Yes sir/ No sir ...no constructive criticism za kuboresha jambo...hate the player dont hate the game
 
dennis_robert

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,296
2,000
Nikipita vijiweni nikisia watu wanampromote mfalme kuwa amefanya makubwa huwa nawaunga mkono huku moyoni nikisema haya mabwege kichwani hamna kitu
Tanzania Kuna mtaji mkubwa wa Ujinga, na mbaya Zaid kaminya press mfano hii habari kwa ordinary kuijua ni ngumu kwa sababu kamwe haiwez tanganzwa na vyombo vya habari vya Tanzania
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,192
2,000
Wacheni ufala hiyo mikopo yote ilitangazwa hata uki-google utaiona sasa siri kivipi?
ID yako ina "sound" kiuhalisia na uelewa wako.
Umeambiwa mikopo haikuwa declared kwa "the so called" mabeberu au "mabwana wa wapinzani". Hao majimee yenu yanayowakopesha,mliwaongopea kwa kutokuweka wazi kwao(OFFICIALLY) mikopo mliyonayo.
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,192
2,000
Hicho kichwa cha habari ni cha kweli, au ni wewe tu unayetaka kupitisha hoja yako? Kauli kwamba Serikali ilitaka 'iwe siri' ndiyo nina wasiwasi nayo! Serikali inatumia mabilioni mangapi kununulia madawa nchini kwa mwaka? Mishahara ya watumishi wa umma ni kiasi gani kwa mwezi? Vikao vya Bunge kwa mwaka hugharimu kiasi gani? Pamoja na kwamba huwezi kunipa majibu kwa maswali kama hayo, huwezi kusema Serikali inayafanya 'siri'. Siyo kila kitu Serikali ikifanyacho lazima kitangazwe. Habari itakuwa siri pale tu mtu anayehusika akifuatilia kwa njia halali na kunyimwa taarifa hiyo hapo ndipo utasema kuna siri. Huwezi wewe mtu baki tu, kwa mfano, uulizie kwenye vyombo vya habari matumizi ya Jeshi na utegemee kuarifiwa.
"Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe".

Pole kwa kuwa na kichwa cha kubebea masikio,pua,mdomo na macho + kufugia nywele.
 
Ng'wanamalundi

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
460
500
"Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe".

Pole kwa kuwa na kichwa cha kubebea masikio,pua,mdomo na macho + kufugia nywele.
Hewala. Shukrani kwa pole zako kwa mimi kuwa na kichwa mbumbumbu tu.
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
5,704
2,000
Ila utafanyaje kama una very unproductive economy na watendaji vichwa maji..
Mr President achana na PHDs ..find good guys from private sector plus commercializing some of the government services.....
Tutaendelea kuomba hadi lini
Hao watendaji mnawaonea sana.yeye mwenyewe ndo empty head.Anachojuabni kuroporoka tu na hanabuwezo wa kuweka akiba ya maneno.huyu huyu ndo alituaminisha kywa gataki mikopo ya liba kubwa sasa anakopa hadi anajionea aibu mwenyewe
 
kapongoliso

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,329
1,500
Dona country imekopa pesa? Loh nchi inateketea kwa kukosa maarifa miongoni mwa waliokabidhiwa dhamana ya kuisimamia Tanzania.
 
JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,736
2,000
Ndio sababu huna hata credit card then unataka kuja kujifanya na wewe una michango pevu.
Wewe mtindio ficha upumbavu wako. Kumbe wewe uko hapa ili bwana wako aone michango yako akulipe vizuri! Sasa nimeelewa. Credit card credit card upuuzi. "DOna Kantri" mnakopa badala ya kukopesha.
 
Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,674
2,000
Wewe mtindio ficha upumbavu wako. Kumbe wewe uko hapa ili bwana wako aone michango yako akulipe vizuri! Sasa nimeelewa. Credit card credit card upuuzi. "DOna Kantri" mnakopa badala ya kukopesha.
Hivi wewe una credit card ngapi? Unapotumiaga huo mpunga huwa ni wa nani? Ujinga huwa ni wakati wa kwenda sio kurudi.
 
JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,736
2,000
Hivi wewe una credit card ngapi? Unapotumiaga huo mpunga huwa ni wa nani? Ujinga huwa ni wakati wa kwenda sio kurudi.
Wewe unaniletea upuuzi wa credit card. Credit cards anazo bwana wako anayejiita mzalendo.
 
Top Bottom