Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,672
2,000
Jana nilileta hii habari moods mkafuta ,mpaka walete watu wenu mnaowataka ,mbona ni taarifa ileile.
Mkuu lazima utambue kwamba JF imenunuliwa na wapinzani, kama ulivyosema hapo juu Moody's Crediting rating y a Tanzania kama sikosei tupo B1 wakati majirani zetu wenye usongo na sisi wapo B2 patamu hapo. Kwa mwendo huu kabla ya 2025 tutakuwa juu zaidi kutokana na ishara za uchumi wetu .
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,687
2,000
Hapo juu sifahamu una maana gani. Kila nchi ina kopa na wanajenga nchi yao. Hakuna nchi ambayo inasema tumejenga kwa pesa ya kukopa au nchi inayosema tumejenga kwa pesa za kukopa. Wewe binafsi unapotumia pesa za kukopa huwa unalipa kwa miaka kadhaa huwa husemi hizi pesa ninazotumia sio zangu. Akili za kikasuku.
Mapesa tunayo meengi saaaana kwanini tukakope huko kwny ma riba ya ajabu ajabu wkt pesa zetu za ndani zinaweza kutekeleza miradi hii-Bana Nkubwa

Hahah pesa zetu za ndani oyeeeeeee.
 

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
5,696
2,000
Serikali hii inapenda sana kuficha mambo muhimu ambayo hata hayastahili kufichwa kwa sababu tu za kisiasa.

Lkn sio muda mrefu haya madeni yatakuwa unsustainable kwani kiuhalisia uchumi mwaka huu utakuwa kwa asilimia 2.2 tu.
 

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
5,696
2,000

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,471
2,000
Dunia ni kijiji huwezi ficha jambo, information flow ipo kiwango cha juu mno kuliko tunavyodhani.

Siri imebakia ni moja tu...wewe na mkeo chumbani. . Hata hiyo hakikisheni dogo wa miaka 3 analala na dada laa mtaumbuka pia kama hivi.
 

NewOrder

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
937
1,000
Hahah daah duniani kooote it is only in Tz(awamu ya 5) ambapo definition ya NTERNAL REVENUES iko kivyake vyake.
Kaka msamehe mbwiga huyo. Ana-spin hii kitu akijisahaulisha kuwa wanaposema “pesa za ndani” huwa wanatumbia ni makusanyo ya hizi pesa za TRA, gawio la hisa nk. Tena maneno ya kiingereza ndio yatawaumbua kabisa, wanapitishia uongo wako kwenye kiswahili.
 

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,736
2,000
Tatizo lako ni kuwa mjinga, hakuna nchi ambayo haikopi. Nilikuwekea Credit Card kukuonyesha mifano hai lakini naongea na robot.

Government borrowing ballooned to £62 BILLION in April to bail out Britain in coronavirus crisis
Kumbe unaelewa. Kuwa hakuna nchi isiyokopa eeh! Dona kantri isiyokpa imepotelea wapi? Bela za mikopo kwa hiyo ndiyo fedha zenu
Tatizo lako ni kuwa mjinga, hakuna nchi ambayo haikopi. Nilikuwekea Credit Card kukuonyesha mifano hai lakini naongea na robot.

Government borrowing ballooned to £62 BILLION in April to bail out Britain in coronavirus crisis
Mjinga Ni we we unayejaribu kuaminisha kuwa hela za mikopo Ni zako.
 

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,736
2,000
Nawashangaa wafuasi wa CHADEMA humu JF, hasa wewe heradius12 na kundi lako (mnajijua, kushupalia Serikali kukopa wakati mnatambua, kwa kusikia na kuona, miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Je, CHAMA chenu kiko safi? Viongozi wenu wanapogama na kusema ukweli mnawakashifu kwa kila lugha.

Leo Lijuakali, Mbunge wao aliyejiengua amakivua nguo CHADEMA kikabaki uchi. Kama madai aliyoyasema hamtayatolea majibu ya kuridhisha, hakika viongozi wenu watakuwa na wakati mgumu kwenye kampeni.

Hongera Mh Lujuakali kuanika uovu wa CHADEMA mapema maana ulitahadharishwa kuweka akiba ya maneno, hivyo hata wakikupoteza kama walivyowapoteza watu wao wakaisingizia Serikali, umekwisha yaanika madudu yao km Uwongo na Ufisadi wa kiwango cha kutisha. Msikilizeni Lijuakali.

Lijualikali ndiye aliyesema miradi inagharamiwa kwa fedha za ndani eeh!? Sasa naelewa hats ile 1.5 trilioni ilikopotelea.
 

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
1,751
2,000
Trilioni 6 kwa tarakimu ni Tsh. 6,000,000,000,000/=.
Kwa kuwa idadi ya Watanzania inakaribia 60,000,000
hii ina maana kila Mtanzania (pamoja na vichanga na vikongwe) tayari ana deni la Tsh. 100,000/=. Na hii ni kwa deni hili tu lililofichwa!
Mag3 hili deni lilifichwa kwenye mfuko gani? Wa mbele au nyuma?
 

sanje

JF-Expert Member
May 12, 2018
303
250
Sasa ni wapi hapo Serikali imesema inataka nafuu ya madeni kutokana na COVID-19? Je, wapi Serikali imekiri kutokufuata kanuni? BTW hizi mnaweka lakini zile za Mbowe mnaficha.
Unapenda sana kuimba taarabu kwenye mambo muhimu
 

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
13,672
2,000
Credit: Evening Standard

''UK borrowing surges by record £62 billion as cost of Rishi Sunak's coronavirus support packages bites''

All the work of the past decade to balance the books "has been undone in one fell swoop".

The government's finances worsened dramatically in April as measures to stem the impact of covid triggered the highest public borrowing on record. April's public sector net borrowing hit £62.1 billion - a massive £51.1 billion more than in April last year. The Office for National Statistics said the introduction of public health measures and new government policies to support businesses and households through the crisis were having a "significant impact" on the state of the UK public finances.

Chancellor Rishi Sunak's loans schemes and paying for staff to be furloughed on 80% of their wages are estimated by some to be set to cost £300 billion this year. The ONS warned the impact of covid measures were not fully included in today's release of data.
The amount the government has to borrow is also hugely impacted by the amount of tax it receives from people and businesses. These have been disrupted hugely by the collapse of company profits and government schemes allowing taxes to be deferred.

ONS officials warned the PSNB measure was therefore more unreliable than usual and urged people to look instead at the central government net cash requirement, which relies less on forecasts of tax receipts.

This too rocketed, to £62.5 billion - the highest since records began in 1984, and up £73.3 billion on the previous year, which showed a small surplus. Public sector net debt was £1.887.6 billion - or 97.7% of GDP - a 17% increase on the same month last year.

The ONS warned that the difficulties in measuring the public finances at a time of such dramatic changes in government policy may mean it has to delay future publication dates.

Paul Craig, portfolio manager of Quilter Investments, said: "Government revenue is dominated by income tax and national insurance, so the furloughing scheme will help mitigate and serious damage here and now. However, the next biggest contributor is VAT, and this is where the worries will be for the Treasury. Consumption has collapsed and will take a considerable amount of time to return to levels seen prior to this crisis.

Kama mataifa ambayo wanaweza kuchapisha pesa ratio ya madeni yao ni kubwa kulingana na GDP yao itakuwa Tanzania? Kukopa sio dhambi. Nafahamu kuna kina Jay Jay, Sanje et al ambao lugha ya malkia ni tatizo kwao.
 

Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,181
2,000
Nani aliyekwambia WB wanafanyia kazi taarifa za Google.

Wewe ndiye ulipaswa ufanye hiyo due deligence.

Hata barua hujaona imekiri kutokufanya nini?

Sent using iphone pro max
Hii ndio iwe haki ya mijadala hapa.
Mkopo wa Credit Suisse uki google tu unapata taarifa yote...km google imejaa habari za hii mikopo sasa huo usiri unaongelewa hapa upo wapi?heb tunapo pata taarifa tujitahidi kufanya due deligence kidogo...ka reseach kadogo kujiridhisha...tusiwe wepesi wa ku judge na ku comment vitu bila kudhibitisha habari husika...No reasearch no Right to Speak ila ss wa Tanzania naona tunafanya in reverse.
Mkuu Gobole, unasemaje kuhusu aliyoyaweka hapa mkuu 'wazunguwawili'.

Kwa maoni yangu, JF ingekuwa na watu wa kutosha kama nyinyi, ukumbi huu ungekuwa ni zaidi ya Bunge la CCM.

Nimependa sana 'approach' yenu katika mjadala huu.
 
Top Bottom