Serikali ya Magufuli iko nyuma ya magazeti ya Jamvi la habari, Tanzanite, Homa ya jiji, kwa habari kama hizi kwanini hayafungiwi au kutoa ushahidi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_20190512-092834.png
 
Hapo Mbowe ndiye anatakiwa achukue hatua kama kasingiziwa, sasa Serikali ifungie gazeti kwani imesemwa yenyewe?
Naomba kukuuliza wewe unaejua hizi sheria.
Kiongozi wa serikali au CCM au wa dini mwenye mlengo wa kunyenyekea serikali bila kuhoji (Ilitokea kwa Kadinali Pengo) akiandikwa madhaifu yake hata kama ni ya kweli Waziri Mwakyembe anachukua hatua Mara moja.
Kwa nini hali kama hiyo haitokei wakiandikwa viongozi wa upande wa pili?
 
Jiwe amemsaidia lipumba kumrudisha Kwa nguvu ya polisi ndani ya cuf kuiharibu kafanikiwa sasa anaendelea na na chadema kutafuta visa.anafadhili magazeti kama haya na Tanzanite wananchi wenye akili tunaona Kwa waziwazi
 
Hapo Mbowe ndiye anatakiwa achukue hatua kama kasingiziwa, sasa Serikali ifungie gazeti kwani imesemwa yenyewe?
Jeshi la Polisi je? Halioni kuna kitu cha kufanya kutokana na hilo andiko!?

au mtoa mada alivyoandika serikali ya Magufuli iko nyuma ya hayo magazeti, ulielewa nini? au unaelewa nini....?

Au ndio akili za kuomba radhi ishike hatamu...
 
Hiyo habari ya DC,TRA mguu kwa mguu hadi mjengoni....ndy imenifurahisha

Ova
 
Jinai haifi, huyu analindwa na Jiwe, kuna siku watawajibika na Jiwe hatakuwa na uwezo wa kuwalinda. Time will tell!
Nakumbuka Habinder Seth enzi za Kikwete alikuwa mfadhili wa Jeshi la polisi , lakini baada ya Kikwete kutoka ni Mahabusu
 
Hela ya nchi inaliwa kijinga sana !
Sababu ya Viongozi wajinga....ela ikiliwa kijinga serikali inayosimamia hiyo ela nayo itakuwa ya kijinga....

Kuruhusu machapisho ya kijinga ni kuruhusu akili za kijinga...... Ujinga nadhani sio tusi

Serikali ikielewa na Ujinga ukiwatoka wataokoa ela inayoliwa kijinga jinga....

Ujinga na UDHAIFU.... Ni ugonjwa hatari sana.
 
Back
Top Bottom