Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Igwe wana JF.
Naandika kwa kuwaonya wafuatao kwa tabia hii ya unywaji sugu..hata Lowasa,Mbilinyi,Mbowe,Lema na wenzake ambao huingia bungeni wakiwa bwaks ujumbe wa JPM mmeupata.
Ikumbukwe Mbowe na wenzake walilalama kwa kuondolewa vimiminika na pesa kuwekwa kwenye barabara na hospitalini.
Hongera JPM kwa kusimamia maadili.