Serikali ya Magufuli hailipi bei halali ya Tanzanite, wachimbaji wanalipwa chini ya nusu ya bei. Kama bei ni halali hakungekuwa na haja ya ukuta

Hujui chochote kuhusu biashara ya madin ya vito ndugu...hyo sio gold...biashara ya vito maongez ni mezan kokote kule dunian hata uende bangkok leo kwenye world market..unaweza nunua jiwe la m10 ..na ukashindwa liuza hata mia hapo hapo sokoni...usikariri.sio dhahab ile

Na hyo imesababishwa na cartels zenyew..ndiomana dhahab inaheshimika hata pesa bank kuu unaweza hifadh kwa vipande vya dhahab.ila hata sku1 huwez skia bank inaruhusu uhifadh fedha kwa vipande vya tanzanite au vito vingne..ts jus a character of commodity market
Unaongea ulevi mtupu. Hakuna unachoelewa zaidi ya kuongea kwa kutumia tumbo
 
Bado Mkuu ni Mabilioni waliodhulumiwa owners wa Bureau De Change kule Arusha na Dar. Cha kwanza walichokifanya wale “polisi” kila walipoingia ni kuvunja security cameras kisha kuanza kukusanya pesa zote za madafu na forex na kuweka makufuli yao makubwa na kusepa bila kuwapa taarifa zozote owners ambao hadi hii leo bado wako gizani.

Hivi wale jamaa wa Bureau walisharudishiwa pesa zao?
 
Hujui chochote kuhusu biashara ya madin ya vito ndugu...hyo sio gold...biashara ya vito maongez ni mezan kokote kule dunian hata uende bangkok leo kwenye world market..unaweza nunua jiwe la m10 ..na ukashindwa liuza hata mia hapo hapo sokoni...usikariri.sio dhahab ile

Na hyo imesababishwa na cartels zenyew..ndiomana dhahab inaheshimika hata pesa bank kuu unaweza hifadh kwa vipande vya dhahab.ila hata sku1 huwez skia bank inaruhusu uhifadh fedha kwa vipande vya tanzanite au vito vingne..ts jus a character of commodity market
You are just rumbling.....
 
Unaongea ulevi mtupu. Hakuna unachoelewa zaidi ya kuongea kwa kutumia tumbo
Ukiona watu wanakubishia sana ujue uzi hauko logical..futa uandike upya mkuu ..usifosi...yaan umeonekana hujui biashara ya vito kabisa

Tofautisha..biashara ya precious metals kama gold na silver..germstones kama hzo ulizo bugi ..industrial minerals na construction materials.zote ni madini tatzo biashara yake ni tofaut..germ na colored stones hata almasi hazina bei maalum

Ndugu yangu wewe hujui chochote kuhusu madin so huu uzi wako ufute tuu maana unaendelea kujidhalilisha mkuu..ushaur tuu...hata uone bei ya tanzanite kwenye soko la dunia lakin sio fixed kama aina nyingne hzo za madini...serikal inaweza ikanunua hayo mawe na vilevile wakaipeleka sokon wakashindwa iuza..lakin ni something different na madin mengne...hyo ndo logic iliyopo kwenye gemstones ambayo biashara yake ni tofaut na madin mengne yooote..halaf cha ajabu sasa.umeweka ume google umeweka bei za processed stones wakat laizer kauza rough...yaan weee jamaa unavobishia watu unaonyesha jins ulivyo 0 brain...futa huu uzi
 
Kwa hiyo unajuta kwa nini tumejenga ukuta
Hapana sijutii kuwa mmejenga ukuta. Nacholalamika ni kuwa hamuwalipi bei sahihi. Mngekuwa mnalipa bei sahihi hao wachimbaji wasingetorosha madini kupeleka Nairobi. Nawasikitikia kuwa mmepoteza pesa bure kwenye kujenga ukuta...Mngewapa bei halali japo kwa nusu tu...Hakuna ambaye ange-risk kupeleka Tanzanite yake Kenya.
 
Mkuu mi nakupa mchongo we unanikashfu! Nunua sururu na tindo uzame shimoni sio wanaume wenzio wamehangaika usiku na mchana halafu we umpangie mali yake aiuzeje. Tanzanite haitafutwi wala kuuzwa nyuma ya keyboard
Najua kuwa haitafutwi kwenye nyuma ya Keyboard.....Siwezi kuingia mashimoni huko Mbuguni.Kama utaweza nikuajiri nikulipe mshahara mzuri wewe zamia shimoni uwe mwana-Apollo wangu.
 
Huyu mleta mada watu wanaombishia ni ignorants tu hakuna wanachojua kuhusu madini ya vito.

Kwa madini makubwa kwa size kama za huyo bwana kitu muhimu sana katika kuifanyia evaluation ni clarity and colour.

Kama kwa asilimia 80 iko clear na ni jiwe moja la kilo kumi, bei yake kwa kila Carat inaweza kuwa zaidi ya USD 1,000 tofauti na jiwe moja la kilo tano lenye sifa hizo hizo thamani yake inaweza kuwa USD 600-700 kwa kila Carat.

Jiwe moja linapokua kubwa na clear ndivyo bei kwa kila Carat inavyozidi kupanda hata kama haijawa polished and faceted.

Hivyo huyo bwana kama mawe yake yako clear na well coloured, kwa hiyo bei aliyopewa ni peanut, amelipwa asilimia 6 au 7 tu ya thamani halali ambayo angelipwa sokoni kwa msingi halisi wa zile 4 C's.
 
Back
Top Bottom