Serikali ya kikwete inastahili kuadhibiwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya kikwete inastahili kuadhibiwa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raybse, Jan 26, 2011.

 1. raybse

  raybse Senior Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwa Kweli kwa hili sakata la DO-ONCE(DOWANS) katika serikali hii ya kaka mkubwa(JK) ambalo limeitikisa nchi yetu kwa muda sasa inastahili ADHABU.... sijajua ni aina gani ya adhabu bado....ila nadhani ni adhabu tena kubwa....na sijui nani hasa anapaswa kuhiadhibu ila na hisi kama adhabu itatoka kwa Wananchi wenyewe itakuwa ya maana zaidi....na Adhabu yenyewe haipaswi kuchelewa....ni muda huu wakati suala lenyewe bado ni la moto...na hisi tutakuwa hatujazitendea nafsi zetu haki...kama tu tutaacha suala hili kuishia kwenye vyombo vya Habari,vijiwe vya kahawa na kwenye madaladala tu!!.......

  "I think a lesson should be learnt and well understood to our leaders that shits cant just pass by like that"
   
Loading...